Embu ngoja tuone nipe muongozo mtoto wa kiarabu...Ehbwana eeehhh, si kwa sifa hizi
Asije akaganda yeye sasa ikawa Smart wa Angel Nylon na sio wa Mahondaw tena
😂 😂 😂 😂 😂 😂Kwangu mukudeee tu na Itapendeza sanaa maisha gwaride nyuma geuka wakwanza anakuwa wamwisho!!!
Uje nikudinye akili ikukae sawa sweetheart... HahahaHaizeekagi hiooo!! Tena ilozeeka wanasema inakuwa mnatrooo!
Wee mpee kwanza tutajua hukohuko! He's blessed indeed usiseme sijakwambiaaa!!
Napenda akulilie machozi ya furaha love.😁😁😁😛Hahaha you are so crazy... hahahah muache Angel Nylon usim challenge sana... hahah katalia sasa hivi...
😁😁😁😁😁😂😂😂!Ha ha haaaaaa, what is this sasa? Sijawahi kuona a lady akimtoa his man like this!!!!
Kwa hali hii wacha nibaki njia kuu nisije nikatelekeza familia Zenji nikahamia Kianga
Unataka Angel Nylon abubujikwe na machozi ya furaha... 😂😂Napenda akulilie machozi ya furaha love.😁😁😁😛
Ndiwo love.🤭 Kwako hatojutraUnataka Angel Nylon abubujikwe na machozi ya furaha... 😂😂
Zama PM nikujibu mwananguAcha kutia tia huruma kwenye nyuzi za watu!
Unaishi pangoni!?
Kumbe ni mzee wa Yavuz Yakuz😂😂😂Alinifuata inbox akitaka namba yako kakupenda ni Poor Brain I'd yake nyingn fala huyu
💃💃💃💃💃Tunayo siss
Huyo ni wewe avatar sis maho,Forever and for alwayssssssss!!!!
Mungu atuweke sana