Happy birthday Smart911

Happy birthday Smart911

Ila unaweza kuwa kama huyo,, itabidi siku mtuambie mlikutana wapi na mpka mkawa Jf,
Hapana hata sifananii nahuyo kabisa mie kizee kimoja chakuja tu kibayaaa
Waeza kutana na mpenzi popote!

Na Smart nishaelezea sana humu labda kama wee ni mgeni jf
 
Mie umri huu na utamu tena mbona makubwa!
Nishastaafu hizo mamboo longiii Tafuta kabinti kamoko hottt ujilie utamu sio sie mizee
Na uzee wangu huu wa miaka 73 nikiangaika na vibinti wanaweza kuniua kwa spidi, bora nitulie na wewe mzee mwenzangu kwa spidi ya taratiiibu :AlizeePLS:
 
Na uzee wangu huu wa miaka 73 nikiangaika na vibinti wanaweza kuniua kwa spidi, bora nitulie na wewe mzee mwenzangu kwa spidi ya taratiiibu :AlizeePLS:
Hapo unafeli sasa ! kwaumri huo vibinti vijana ndio saizii yako damu changa inachemka wanakupa vitu motomoto

Mie acha nipambane nauzee wangu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom