aliekatakamba-wingatereza
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 624
- 4,582
namimi namtongoza mahondwa ubaya ubwelaaAngel Nylon achana nao hayo kwani kuongea na members ni dhambi... hahaha
namimi namtongoza mahondwa ubaya ubwelaaAngel Nylon achana nao hayo kwani kuongea na members ni dhambi... hahaha
umenikubalia beby?😁😁😁😁Kumekuchaa, kumekuchaaaaaa
Mbona mapema?🏃♀️umenikubalia beby?😁😁😁😁
mambo yasasa hayatakiwi kuenda polepole.siunajua dunia imeongeza Kasi ya kuzunguka😁nasisi inabidi tuwechap kidogo my loveMbona mapema?🏃♀️
Kama utatoboa sijui aisee...namimi namtongoza mahondwa ubaya ubwelaa
Aisee unanijaribu au siyo...Jaribu tuone 😜
Hakika changamsha birthday tu...Anachkulia kila kitu serious huyu. Hajui kama tulikuwa tunamchangamsha birthday boy 😍
Dunia haijaongeza kasi ya kuzunguka mbona hatudondoki?mambo yasasa hayatakiwi kuenda polepole.siunajua dunia imeongeza Kasi ya kuzunguka😁nasisi inabidi tuwechap kidogo my love
Nikupee au sio? Birthday si ishaisha lakini? 😛Hakika changamsha birthday tu...
Ila ukinipa nitafanyaje sasa nitaichukua hivyo hivyo...
Ndiyo kwanza imeanza, alafu viungo haviishi na hakuna ukomo wa kupokea zawadi, fanya kunipa...Nikupee au sio? Birthday si ishaisha lakini? 😛
Set me free basi nitoke huku niliko 😉Ndiyo kwanza imeanza, alafu viungo haviishi na hakuna ukomo wa kupokea zawadi, fanya kunipa...
Nisusie kidogo...
Acha ungese we jamaa 😂😂😂😂😂Alinifuata inbox akitaka namba yako kakupenda ni Poor Brain I'd yake nyingn fala huyu
Ausio,, mm mngese kama naliwaAcha ungese we jamaa 😂😂😂😂😂
Acha kukuza mambo weweAusio,, mm mngese kama naliwa
I am planning nitkuteke kabisa nikulete huku nilipo...Set me free basi nitoke huku niliko 😉
kunitamanisha na unajua kua sipo karibu,, kweli India na Tanzania wapi na wapiNjoo ufuate zawadi kama upo karibu...
Wewe ndiyo upo India? Mimi nipo Tanzania...kunitamanisha na unajua kua sipo karibu,, kweli India na Tanzania wapi na wapi
onhooo basi apo sina neno tenaWewe ndiyo upo India? Mimi nipo Tanzania...
Kama upo India nakutumia ticket ya go and return...
Wewe tu. Hii haina hata haja ya kusubiri October ndio tu✅️I am planning nitkuteke kabisa nikulete huku nilipo...
Upo tayari binti wa kiarabu...