aliekatakamba-wingatereza
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 624
- 4,582
smart amemtongoza angel deme wa mshanakr
Naomba mimi na wewe tueinjoi pia.Let him enjoyyyyyyyy! Acha ale mema ya duniaaaaaaa!!💃!
Mbona unataka kuleta taharuki!?smart amemtongoza angel deme wa mshanakr
umemchukiza sana mshana anakupenda wewe.halafu unatongozwa mbele yake😁😁😁😁😁Mbona unataka kuleta taharuki!?
Kakwambia au?umemchukiza sana mshana anakupenda wewe.halafu unatongozwa mbele yake😁😁😁😁😁
Daaah 😂 kwamba me mingp 🤔Weee fotetuu subutuu sio kwa akili zako hizoo zinaendana na timu yako😁😁😁!
achana nao haowote nipende Mimi😉Kakwambia au?
Ye mwenyewe anatongoza mbele yangu na kupendana kupo palepale
Kumekuchaa, kumekuchaaaaaaachana nao haowote nipende Mimi😉
Angel Nylon ati ya kweli haya? kwani nakutongoza?smart amemtongoza angel deme wa mshanakr
Angel Nylon achana nao hayo kwani kuongea na members ni dhambi... hahahaumemchukiza sana mshana anakupenda wewe.halafu unatongozwa mbele yake😁😁😁😁😁
Au nikutongoze kiukweli ukweli... maana nikifanya hivyo huchomoki...Mbona unataka kuleta taharuki!?
Njoo ufuate zawadi kama upo karibu...mwezi wetu huu ,, happy birthday 🎉 to him.
You are beautiful and sexy, with a big nyash, unayo haswa, sweetheart... Tatizo wewe na dada yako mmefanana sana kila kitu... hahahaKabiiiiiiisa hata sifananii nahii avatar!!
Anachkulia kila kitu serious huyu. Hajui kama tulikuwa tunamchangamsha birthday boy 😍Angel Nylon ati ya kweli haya? kwani nakutongoza?
😉😛Au nikutongoze kiukweli ukweli... maana nikifanya hivyo huchomoki...
Nikutongoze kiukweli ukweli... if i do that huchomoki...
Jaribu tuone 😜Nikutongoze kiukweli ukweli... if i do that huchomoki...