Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,060
- 184,772
Thibitisha kama umeshazeeka...Hekaheka lazima niziogope, nishazeekaaa😛
Thibitisha kama umeshazeeka...Hekaheka lazima niziogope, nishazeekaaa😛
Mahondaw unauza mechi ohoo!...shauri yako.Hakika. Akikupea hatojutra love venye umebarikiwa ukabarikiwa tena na teiinaaah😊!
Huwezi amini mpaka siku naona watu wanasema ni wapenzi nikashtuka maake nilijua humu ni wanaume tuu 😂😹😹😹 kesi yako ngumu siwezi kukutetea..!!
NaaaamExactly.
May his life be filled with utamu laughter and joyyyyyyyyy.
Yaani, mpaka waniogopesha hawa...JF na watu wake sio ya kuiamini sanaMahondaw unauza mechi ohoo!...shauri yako.
HBD to him 👍🎵🎶
Samahani sisi mahondaw kwahiyo ninyi ni muke na mume kabisa 🤔Smart Forever and for alwayssssssss💋💋💕💕💕💕💕💕💕💕💕! Mungu amjaalie maisha marefu ainjoyyyyyyy utamuuu wa duniaaa💃💃
Enheee Uvoshtuka ikawajeee???Huwezi amini mpaka siku naona watu wanasema ni wapenzi nikashtuka maake nilijua humu ni wanaume tuu 😂
Wee mie nishazeeka zamani sana....Smart labda awe mkwe wangu..usimtafutie balaa na mshangazi 😛Weee kwa uzee gani ulonao!! 😁!
Mblessss mtoto wa mwanamke mwenzio!
Nilikuwa naona mnatagiana kila nyuzi maybe nikasema mtu na rafiki ake ko labda ule ushoshtiEnheee Uvoshtuka ikawajeee???
Sema Smart mwanaume mtam nyieee 🤣🤣🤣🤣!!
Ukiwa nae hachoshiiiiii
Lots of hugs and kisses to him 💋💋💋💋💋💋💋💋
Who is mfuaji? I don't know this guy 🤔Nilikuwa naona mnatagiana kila nyuzi maybe nikasema mtu na rafiki ake ko labda ule ushoshti
Asa Kuna siku nikaona nyuzi ya happy birthday mahondaw, nikapigwa na butwaa Kali sana
Ndo nikajua ni wapenzi kama mfuaji na Mama Ndege
Weka picha kwa faida ya members...Wee mie nishazeeka zamani sana....Smart labda awe mkwe wangu..usimtafutie balaa na mshangazi 😛
Alinifuata inbox akitaka namba yako kakupenda ni Poor Brain I'd yake nyingn fala huyuWho is mfuaji? I don't know this guy 🤔