Happy birthday Roulette! Mwaaaah

Happy birthday Roulette! Mwaaaah

haya sweetlady naona umeamua kuntenga mazima. poa me ntaja kujisevia tu. kaz namwachia shostito cacico
 
Last edited by a moderator:
Hello sweet RR! Mimi na my wife Erotica tunakupongeza sana kwenye hii siku yako muhimu ya kuzaliwa kwako. Erotica anapumua kwa furaha na kuniambia eti kwa kuwa upo kwenye sherehe hutapata muda wa ku-moderate jukwaa la siasa na kwa ajili hiyo atateremka huko kugawa vidonge vizito kwa watu waliomkwaza. And sorry RR, j'ai oublie' mon francaise que tu m'ensegne' Did I get it right?

papito umesahau kumbebea zawadi nilimwandalia. uje kuichukua caramel sawa?
 
Many many warm birthday greetings to you love....may all your wishes come true today and always...much love from me.....xoxo
 
papito umesahau kumbebea zawadi nilimwandalia. uje kuichukua caramel sawa?

My honey Erotica, mbona tena hivyo? Si nilikuomba uendelee kupumzika kama alivyoshauri dokta wetu! Halafu hiyo zawadi mbona hukuja nayo? Haya hebu iandae chap nakuja kuichukua. Iweke sawa, si unajua RUSSIAn Roulette ni selective sana?
 
Last edited by a moderator:
Afu wife, unajua hii birthday imeangukia kipindi cha mfungo. Tafazali wale marafiki zako wapenda kula, charminglady, CUTE, princess enny na ummu kulthum usiwakaribishe, watatuharibia sherehe yetu.

attachment.php

Na wale vyapombe Catherine na AmKATRINA pia usiwakaribishe. Watatutia aibu.

attachment.php
alafu wewe mimi thitaki uchokozi ujue hayaaa na nitakuchemea
 
My honey Erotica, mbona tena hivyo? Si nilikuomba uendelee kupumzika kama alivyoshauri dokta wetu! Halafu hiyo zawadi mbona hukuja nayo? Haya hebu iandae chap nakuja kuichukua. Iweke sawa, si unajua RUSSIAn Roulette ni selective sana?

wore not caramel Hygie, narudi kwa bed. mwaaaaaaaah!
 
mchungaji mbona dhambi nje nje? mbona mm huniambii ivo kama cute? :A S cry:

wow welcome back Erotica, mwaaaah. Kumbuka, It is not SEX that gives Pleasure, it is the LOVER!

haya nambie how r you doing, siku hizi uko mapumzikoni hujafanya dhambi uje kuungama? lol
A%20S-heart-2.gif
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Roulette
Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu na yenye baraka zake.
 
Last edited by a moderator:
wow welcome back Erotica, mwaaaah. Kumbuka, It is not SEX that gives Pleasure, it is the LOVER!

haya nambie how r you doing, siku hizi uko mapumzikoni hujafanya dhambi uje kuungama? lol
A%20S-heart-2.gif

ewaaaaah! apo sawa sasa mchungaji, naona umenitendea haki.

umeona na ww eeh? ingekuwa ni sex peke yake kungekuwa hakuna substitutions. :A S shade:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom