Happy birthday Roulette! Mwaaaah

Kaizer

Platinum Member
Sep 16, 2008
25,320
17,821
Wajameni! Wanachitchat na wanajamvi waandamizi na wale wa "siku hizi"

It is with great pleasure kuwa leo hii, our very interactive and friendlu colleague and mod wa hili jamvi, the one and only Roulette anasheherekea siku yake ya kuzaliwa.

HAPPY BIRTHDAY shemeji yangu mpenzi.

We love you and wish that you live to celebrate
Your birhday many years to come!

Mwaaaah!!!!!!

Kwa hili najua bado sherehe ya Erickb52 haijesha vizuri ila
Nawaomba wanachitchat nanwanajamvi wote tujumuike kumpongeza Roulette.

Kwa kaulo hii namwomba sweetlady haraka zile kamati usizivunje ila uangalie kama utaweZa kufanya reshuffle kidogo.
Maana kuna kina PakaJimmy na Mtambuzi wamelalamika ila Bishanga ataendelea kuwa ulinzi liwalo na liwe, @ ummu kuluthum atabeba keki na cacico
My shem atabeba champagne.

We love u Roulette.

Angalizo, mtoto ako hosp hadi jioni, anaangaliwa na sweet AshaDii japo naye tumbo limekuwa kubwa!

Asprin hebu niangalozie somesing apo fasta nina kiu!
 
Last edited by a moderator:
Am proud to be the sooner member to visit in this Uzi .
Please ROULETTE accept my sincere HONGERA to your Birthday!
Either to your Mc KAIZER , i wish you always to remain my RESPECTABLE friend member.
 
Happy Birthday to You
Happy Birthday to You
Happy Birthday Dear Roulette
Happy Birthday to You.

From good friends and true,
From old friends and new,
May good luck go with you,
And happiness too.

How old are you?
How old are you?
How old, How old
How old are you?

Happy-Birthday-Cake-2.jpg

Kata keki tule,
Kata keki tule,
Kata keki tule Roulette
Kata keki tule.

Hongera kwa kutimiza miaka kadhaa.....

Hongera kwa kuendelea kupunguza miaka yako ya kuishi

kwa niaba ya mume wangu Asprin, na wakewenzangu cacico na Yummy chini ya usi amizi wa Kongosho tunakutakia maisha marefu, uishi hadi vitukuu vikuanike juani, uwe na mafanikio katika kila ufanyalo.....

Happy birthday
 
Last edited by a moderator:
Wajameni! Wanachitchat na wanajamvi waandamizi na wale wa "siku hizi"

It is with great pleasure kuwa leo hii, our very interactive and friendlu colleague and mod wa hili jamvi, the one and only Roulette anasheherekea siku yake ya kuzaliwa.

HAPPY BIRTHDAY shemeji yangu mpenzi.

We love you and wish that you live to celebrate
Your birhday many years to come!

Mwaaaah!!!!!!

Kwa hili najua bado sherehe ya Erickb52 haijesha vizuri ila
Nawaomba wanachitchat nanwanajamvi wote tujumuike kumpongeza Roulette.

Kwa kaulo hii namwomba sweetlady haraka zile kamati usizivunje ila uangalie kama utaweZa kufanya reshuffle kidogo.
Maana kuna kina PakaJimmy na Mtambuzi wamelalamika ila Bishanga ataendelea kuwa ulinzi liwalo na liwe, @ ummu kuluthum atabeba keki na cacico
My shem atabeba champagne.

We love u Roulette.

Angalizo, mtoto ako hosp hadi jioni, anaangaliwa na sweet AshaDii japo naye tumbo limekuwa kubwa!

Asprin hebu niangalozie somesing apo fasta nina kiu!

Hommie Kaizer,

Kwa kuzingatia itifaki na heshima kwa swahiba wangu Roulette (Hapa najiwekea ulinzi wa kutolambwa ban) ambaye yuko kwenye mfungo... Vinywaji vikali havitahusika. Ila nshaongea na mke mkubwa BADILI TABIA ambaye kishaandaa mnuso wa uhakika

attachment.php

Na mke wangu kipendwa cacico kishaandaa keki ya kiasili.... Ndafu la uhakika

IMG_7252.JPG

Wakati bi mdogo Yummy yeye atakuwa busy kuhakikisha waalikwa wanajiburudisha vya kutosha

IMG_9125.JPG
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kutimiza miaka kadhaa.....

Hongera kwa kuendelea kupunguza miaka yako ya kuishi

kwa niaba ya mume wangu Asprin, na wakewenzangu cacico na Yummy chini ya usi amizi wa Kongosho tunakutakia maisha marefu, uishi hadi vitukuu vikuanike juani, uwe na mafanikio katika kila ufanyalo.....

Happy birthday

Afu wife, unajua hii birthday imeangukia kipindi cha mfungo. Tafazali wale marafiki zako wapenda kula, charminglady, CUTE, princess enny na ummu kulthum usiwakaribishe, watatuharibia sherehe yetu.

attachment.php

Na wale vyapombe Catherine na AmKATRINA pia usiwakaribishe. Watatutia aibu.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Happy bday legend.
Ile kazi ya mapambo nataka kustaafu, manake Asprin ana tabia ya kunipiga picha nikiwa na booty cut. Huu mwezi mtukufu PAW anakuwa kafungulia wivu kama bomba la ruvu.
 
Orayt... nashukuru kwa kulitambua hilo.... Na usije na kile kivazi chako cha utata..

ice7.jpg

Kama utakuja nacho basi hakikisha huji na mmeo. Kuna sehemu unaweza kumuacha kwa muda.

attachment.php
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom