Happy birthday Roulette! Mwaaaah

Asante sana, sidhani kua nilizaliwa kumoderate, nilizaliwa kukutana na marafiki, all the friends that you are. Pia nimebadili jina, kila saa watu walikua wanatuchanganya.
..

Sasa umekua mkubwa fasta sana....hope BD ilikua bomba...like you!
Kwa hiyo sasa hivi wanafupisha kukuita single R? :wacko:
 
aisee ! Asprin umejuaje....umepitia posts zote? By the way Roulette bado ndo kwanza ametokelezea leo ww subiri tu. @hebu mpost Yummy hapa fasta
7_4_13.gif

Abeeee, nimekuja Kaizer unataka tu:pray2: au tupeane ma:hug:???

Orayt....... Yummy popote pale ulipo go that way.... Hommie Kaizer ana muamana wa kuangalia mustakabali wa hali yako

Nimeshaitikia wito Asprin kifuatacho???
 
Last edited by a moderator:
View attachment 60675
Nitamleta....but yeye anatumia hicho kinywaji hapo juu. Vinapatikana kwa wingi?

Iko mingi sana...ni sawa na kwenda kwa baresa na kuuliza kama atakuwa na sikirimu kwa wingi! kamati ya matumizi ya sherehe bado ina alot of drinks hadi chai kwa ajili ya ustaadh Rejao kuanzia saa moja jioni ipo

Ila vijana wangu Erickb52 na platozoom wao wana booze tangu mapema chini ya aungalizi wa Asprin.
 
Last edited by a moderator:
Wow....Welcome back Roulette, hatimaye sasa umetolewa public walau wakuone na watu wengine....mwah...
Thank you so much Shem, you are the best!

Hommie umemwona Roulette? Yaani pamoja na kuwa MC wa shughuli na mpifapicha mkuu hakuna sehemu aliyonigongea LIKE wala kuniquote wala kunimention wala kunishukuru....Kwanini Kaizer? Why? Inauma sana asee...
Unajua nimerudi post zangu na nimekuta kweli sijakushukuru... I am sorry dear, sijui imetokeaje. Thank you soooo much my dear ODM. Kama nilivo kwambia siku ile wether you like it or not I have auto-procvlamed myself "best friend of ODM" sasa sijui nilisahau vipi. hahaha
 
Sasa umekua mkubwa fasta sana....hope BD ilikua bomba...like you!
Kwa hiyo sasa hivi wanafupisha kukuita single R? :wacko:
Yeah, kuna ambao wananiita R, wengine wanasema "single R" but I think "roulette" is not that long... bora tu roulette.
 
Thank you so much Shem, you are the best!

Unajua nimerudi post zangu na nimekuta kweli sijakushukuru... I am sorry dear, sijui imetokeaje. Thank you soooo much my dear ODM. Kama nilivo kwambia siku ile wether you like it or not I have auto-procvlamed myself "best friend of ODM" sasa sijui nilisahau vipi. hahaha
Umeona eh? You are a good girl. Umesamehewa zambi zako zote mpaka za kesho.

Ramadan Kareem.
 
Iko mingi sana...ni sawa na kwenda kwa baresa na kuuliza kama atakuwa na sikirimu kwa wingi! kamati ya matumizi ya sherehe bado ina alot of drinks hadi chai kwa ajili ya ustaadh Rejao kuanzia saa moja jioni ipo

Ila vijana wangu Erickb52 na platozoom wao wana booze tangu mapema chini ya aungalizi wa Asprin.
Vijana wana hangover, nshacheki na Asenga ndo anamalizia kuchuna mbuzi.
 
0005.gif

my dear nakutakia kila jema maishani,
nakutakia, nguvu, baraka na mafanikio
kwa kila ufanyalo, nakutakia kheri ya
kuishi miaka mingi mpaka uone vitukuu,
nakutakia baraka zote zitokazo kwa Mwenyezi Mungu
I just wanna say Happy Belated birthday hun.
Roulette
0081.gif
0050.gif
0084.gif

Last edited by a moderator:
:hug: Thank yu sooo much dear, I am so touched! Amina, amina, amina! Jazzakalah-u Kayran!
0005.gif

my dear nakutakia kila jema maishani,
nakutakia, nguvu, baraka na mafanikio
kwa kila ufanyalo, nakutakia kheri ya
kuishi miaka mingi mpaka uone vitukuu,
nakutakia baraka zote zitokazo kwa Mwenyezi Mungu
I just wanna say Happy Belated birthday hun.
Roulette
0081.gif
0050.gif
0084.gif

Similar Discussions

Back
Top Bottom