Happy birthday Roulette! Mwaaaah

Happy birthday Roulette! Mwaaaah

Hapo ndipo unapokosea.... wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA nawapenda sana, na wao wanapendana mbaya. Ni full maraha.... kama vipi unaweza kuomba kuungana nao kama una vigezo na watakukubalia..

IMG_8962.JPG

Happy birthday Roulette. Asprin mmmhhhh.......kama una picha nyingine ya 'siku hii' hebu nitumie
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kutimiza miaka kadhaa.....

Hongera kwa kuendelea kupunguza miaka yako ya kuishi

kwa niaba ya mume wangu Asprin, na wakewenzangu cacico na Yummy chini ya usi amizi wa Kongosho tunakutakia maisha marefu, uishi hadi vitukuu vikuanike juani, uwe na mafanikio katika kila ufanyalo.....


Happy birthday

Thank you darling BADILI TABIA mwaaaah
 
Last edited by a moderator:
Kaizer acha tu liwalo na liwe manake labda itasaidia watu wasiibe vinywaji kama jana!
Yummy nakusalimu kwa amani ya bwana.......mekumiss munooooo mpendwa!

Hahahahaha nadhai uwepo wake tu unatisha kuwafanya watu wasiibe vinywaji lol ila tutampoteZa figganigga maana anayaogopa macho yake!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer acha tu liwalo na liwe manake labda itasaidia watu wasiibe vinywaji kama jana!
Yummy nakusalimu kwa amani ya bwana.......mekumiss munooooo mpendwa!

Nipo mpendwa nilikua tu na pilika za hapa na pale.......missed u too love! Naona bday ya Erickb52 ilienda vizuri na hii hali kadhalika.
 
Last edited by a moderator:
Ewaa mwaah mwaah mwaaah haya nambie kwa nn umeadimika ivi?

Mwenzangu Mr Rocky alinichimbia mkwara eti niamue kuingia JF au talaka.......mmmmhhh ndoa tamu mwenzangu nikaamua kutii.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahaha wewe Remmy wewe lol unapenda wenzio wazaliwe kila siku eeh?....kesho zaliwa wewe mimi ntakubeba!

Raha kweli kubeba vitoto. Ila kubebwa pia ni raha, sasa sijui nizaliwe keshoo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom