CUTE
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 1,229
- 591
usilie mwaya atakuambia tu mda wako ukifika sawa mamitoomchungaji mbona dhambi nje nje? mbona mm huniambii ivo kama cute? :A S cry:
usilie mwaya atakuambia tu mda wako ukifika sawa mamitoomchungaji mbona dhambi nje nje? mbona mm huniambii ivo kama cute? :A S cry:
usilie mwaya atakuambia tu mda wako ukifika sawa mamitoo
In life we meet people
and some people just touched our lives in a very unique way...
Roulette you are one of those few people who are very special
yet always act like you are just like everybody else....
may god bless the day you you were born ...
and may god bless you forever......
your presence in our lives means a lot than you can imagine....
Happy Birthday Roulette
Happy birthday Roulette......Mungu akupe maisha marefu yenye furaha, amani na upendo!
Kaizer nimekupata ila kutokana na sababu zisizozuilika ile kamati ya vinywaji itabidi ivunjwe tu manake jana imefanya ndivyo sivyo.... PakaJimmy atabakia afu ataeua wengine wa kumsaidia........ platozoom jana katoroka na chupa za watu hivyo popote alipo namuomba azirudishe....... Asprin alilewa sana mpaka akasahau kuwa jana ilikuwa zamu ya kulala kwa cacico akalala kwa BADILI TABIA......hii imeleta ugomvi sana........ @Prteta nae ilivyofika jioni aliamua kujisevia badala ya kusevu kwa wageni waalikwa yaani kama sio TANMO angelala ukumbini jana......
charminglady asipangiwe kazi yoyote manake hata jana hakuweza kushiriki vema amebanwa kidogo...... Remmy alijitahidi sana kuhakikisha mtoto Erickb52 amekuwa mwenye furaha hivyo kwa heshima na taadhima naomba umpe kazi ya kumbeba mtoto Roulette manake yuko vizuri kwenye hiyo idara!....... Catherine asihudhurie kwenye hii sherehe manake jana ametoroka na keki ya b52..... Bishanga jana ametuangusha kwakweli manake alilinda mlango huku amelewa so kuna baadhi ya watu wasio na utu waliweza kuzamia na kuiba baadhi ya vitu kama glass, mapambo nk...... zaidi ya hapo mie sina neno niwatakie tu sherehe njema!
Bishanga jukumu lako jipya umelionaje?come on sweetlady acha kunisingizia,we ndo ulilewa mpaka ukaingia kwenye gari la @figanigga ukamwacha Vin Diesel solemba! vipi alikufikisha salama maana huyo jamaa nasikia mpe dola milioni atafikisha lakini mwanamke.......
Wanyama? Ushasahau tulivyoenda mikumi?? Haya matukio wayakumbuka Yummy? Inakuwaje sasa wataka kunikimbia kisa kuangalia wanyama?? Eti cacico na BADILI TABIA chini ya uongozi wa Kongosho, mnaona anachotaka kunifanza mke mwenzenu?Unauliza majibu 'without' of course
My dia hubby naomba ruhusa niende kuona wanyama pori kwani wewe hujawahi nipeleka huko(najua una kazi nyingi) acha Kaizer akusaidie:smile-big:
Wanyama? Ushasahau tulivyoenda mikumi?? Haya matukio wayakumbuka Yummy? Inakuwaje sasa wataka kunikimbia kisa kuangalia wanyama?? Eti cacico na BADILI TABIA chini ya uongozi wa Kongosho, mnaona anachotaka kunifanza mke mwenzenu?
![]()
![]()