Happy birthday Roulette! Mwaaaah

Happy birthday Roulette! Mwaaaah

Hizi salamu zinafanya kengele igonge ku mkichwa.....enewei, naona ni za dhati....from Kaizer to sheme ake Roulette.....
Sasa....tukio ni wapi....
Nimesahau itifaki...
Happy birthday Roulette, nafurahi nawe siku ya leo....ulizaliwa kumodereti!

Amesema Kaizer tukutane maisha club!
 
Last edited by a moderator:
Hebu acha kunchonganisha mie

Ujue kuwa mwenye kiti ni sifa hivyo?

Hadi tanzania nzima wanakujua?

whaaaaaaaaaaaaaaat?
walaaahhhhhhhhhhhhhhhhiiiiiiiiiiii
Asprin hubby njoo uone haya mazarau ya huyu mwanamke...... tena uje kutoa tamko...

wakewenzangu cacico na Yummy njoeni mumuone huyu msimamizi,.....sijui anadhani sikio linaweza kuzidi kichwa...


na kuanzia leo tunamvua rasmi usimamiz, Asprin tunasubiria tamko loh...
 
May everything happy
and everything bright
be yours on your birthday
from morning till night.

And then through the year
may the same thing hold true
so that each day is filled
with life's best things for you!

Have a Happy Birthday
 
BADILI TABIA cake c itafaa hii au tubadilishe!!?? DesignCakes_0102-xlg_large.jpg
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Roulette......Mungu akupe maisha marefu yenye furaha, amani na upendo!
Kaizer nimekupata ila kutokana na sababu zisizozuilika ile kamati ya vinywaji itabidi ivunjwe tu manake jana imefanya ndivyo sivyo.... PakaJimmy atabakia afu ataeua wengine wa kumsaidia........ platozoom jana katoroka na chupa za watu hivyo popote alipo namuomba azirudishe....... Asprin alilewa sana mpaka akasahau kuwa jana ilikuwa zamu ya kulala kwa cacico akalala kwa BADILI






TABIA
......hii imeleta ugomvi sana........ @Prteta nae ilivyofika jioni aliamua kujisevia badala ya kusevu kwa wageni waalikwa yaani kama sio TANMO angelala ukumbini jana......

charminglady asipangiwe kazi yoyote manake hata jana hakuweza kushiriki vema amebanwa kidogo...... Remmy alijitahidi sana kuhakikisha mtoto Erickb52 amekuwa mwenye furaha hivyo kwa heshima na taadhima naomba umpe kazi ya kumbeba mtoto Roulette manake yuko vizuri kwenye hiyo idara!.......
Catherine asihudhurie kwenye hii sherehe manake jana ametoroka na keki ya b52..... Bishanga jana ametuangusha kwakweli manake alilinda mlango huku amelewa so kuna baadhi ya watu wasio na utu waliweza kuzamia na kuiba baadhi ya vitu kama glass, mapambo nk...... zaidi ya hapo mie sina neno niwatakie tu sherehe njema!


Ninavojisikia raha kubeba mtoto.....
Jamani kesho nani anazaliwa, nimenogewa na hizi bata.
 
Last edited by a moderator:
Ninavojisikia raha kubeba mtoto.....
Jamani kesho nani anazaliwa, nimenogewa na hizi bata.

Hahahaha wewe Remmy wewe lol unapenda wenzio wazaliwe kila siku eeh?....kesho zaliwa wewe mimi ntakubeba!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom