Happy birthday
Roulette......Mungu akupe maisha marefu yenye furaha, amani na upendo!
Kaizer nimekupata ila kutokana na sababu zisizozuilika ile kamati ya vinywaji itabidi ivunjwe tu manake jana imefanya ndivyo sivyo....
PakaJimmy atabakia afu ataeua wengine wa kumsaidia........
platozoom jana katoroka na chupa za watu hivyo popote alipo namuomba azirudishe.......
Asprin alilewa sana mpaka akasahau kuwa jana ilikuwa zamu ya kulala kwa
cacico akalala kwa
BADILI TABIA......hii imeleta ugomvi sana........ @Prteta nae ilivyofika jioni aliamua kujisevia badala ya kusevu kwa wageni waalikwa yaani kama sio
TANMO angelala ukumbini jana......
charminglady asipangiwe kazi yoyote manake hata jana hakuweza kushiriki vema amebanwa kidogo......
Remmy alijitahidi sana kuhakikisha mtoto
Erickb52 amekuwa mwenye furaha hivyo kwa heshima na taadhima naomba umpe kazi ya kumbeba mtoto
Roulette manake yuko vizuri kwenye hiyo idara!.......
Catherine asihudhurie kwenye hii sherehe manake jana ametoroka na keki ya b52.....
Bishanga jana ametuangusha kwakweli manake alilinda mlango huku amelewa so kuna baadhi ya watu wasio na utu waliweza kuzamia na kuiba baadhi ya vitu kama glass, mapambo nk...... zaidi ya hapo mie sina neno niwatakie tu sherehe njema!