Mi napika? Anti naomba nikae karibu na babu... nimemiss sana kwa kweli... hata hivo nimesha kamua juice ya ukwaju na tangawizi, si inatosha?
Mkimaliza sherehe yenu nijulisheni nije kumalizia dozi za drip.
loh sis hata ka pm kwenye huu mnuso? habari nazipata kwa jirani so fair kwa kweli hii dhambi sitokusameheMwali my obidient niece leo ulikua mbali na mimi.... We have a new addition... Cousin wenu kwa jina la Golden Mpoleee....lol
Pole na kuandaa .... Hiyo juice yaosha kabisa...
ahahaaa we si mwali? hv mwali unatoka lini ndani? mimi niliwekwa siku 2 pakanishinda mwe.Anti mbona zawadi tulisema tunatoa usiku? Ona Smile kaleta bonge la zawadi mi naonaekana mzembe, as if sikufikiria kuleta zawadi...:A S embarassed:
halafu wewe saint nina kesi na wewe.jamani kuna kiingilio kwenye birthday ya babu?
Anti mbona zawadi tulisema tunatoa usiku? Ona Smile kaleta bonge la zawadi mi naonaekana mzembe, as if sikufikiria kuleta zawadi...:A S embarassed:
yeye ndo hajalala ndani mimi mambo hayo nimeacha siku nyingi si unajua nimechumbiwa na mkurya siku hz? unataka nile mapanga?Hasira unafikiri ninazo ni Kidogo?? Husny kaniarifu hujalala ndani..... Jieleze mengine yataendelea....
jamani kuna kiingilio kwenye birthday ya babu?
loh huyu ana hata mwenzi jamani just imagine na mahari keshatoa hapa anajikusanya tunaenda shoping ya harusi dubaiHilo nalo babu yako analalama.... Anadai uchumba gani wa miaka mitatu! Anataka MAHARI! lol
halafu wewe saint nina kesi na wewe.
MC atapewa majina mwisho wa shughuli.... Niko kunakili list hapa taratiiibu, hadi wategezi wataorodheshwa kua ni wategezi....lol
nitakuambia mida ya blues si utacheza na mimi?kesi gani tena jamani ..niambie tuyamalize
Utamuweza babu wewe.... Pale hamna kiingilio inatakiwa tu ufanye kazi.... Wee naona nikupeleke kwenye vinywaji ukasaidie kutoa store.... Sweetie kachoka kafanya saana leo kazi ya drinks....lol
Anti naomba mimi na Ivuga twende kununua chumvi... chumvi imeisha humu ndani...:A S embarassed:Utamuweza babu wewe.... Pale hamna kiingilio inatakiwa tu ufanye kazi.... Wee naona nikupeleke kwenye vinywaji ukasaidie kutoa store.... Sweetie kachoka kafanya saana leo kazi ya drinks....lol