MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
NOOO! It wasnt me...... kale kajukuu kalinifosi nibwatuke....kalitishia kuongeza speed ya dripu nisingefanya vile.... Sasa machungu ya Regia umesema bado hayakutoka, ulitaka uongezewe na ya ODM? No? do the needful basi lol
Afu shem hii tabia ya kuwakuwadia wajukuu zangu bila kibali changu umeianza lini?
Yaani hata bila ya ukaguzi, UMEPITISHWA!
Ukija umevaa hayo makitu utaishia kwenye geti........😛hoto:
Shukrani mzee mwenzangu. Hawa ili uendane nao sawa unatakiwa uende kimjinimnjini. Mwenzio hapa nimetinga raba mtoni za kufa mtu na kofia ya Nike bila kusahau sun glasses. Huku kichwani nimepiga die ya uhakika na ndevu nimenyoa O style. Hapa wajukuu hawachezi mbali na wewe.........Mie nimetulia tu hapa nawasoma mnavyojazana ujinga........................
Happy Birthday Mzee Mwenzangu Asprin..............Hawa watoto weshanishinda maana kila siku kunipa presha tuuuuuuu......
Ukija umevaa hayo makitu utaishia kwenye geti........😛hoto:
Wa kuchinjiwa baharini tena uwe wewe? Kumbe nani atabaki hai?Duh Babu umeamua kunichinjia baharini?!
Today, 13:50
Cantalisia
JF Premium Member
[h=2] This message has been deleted by Cantalisia. [/h]
Reason?:juggle:
Unajua mate bado sijajua kama kale katabia kako ka ufataki umeshakaacha au la. Ukaguzi nliowafanyia wajukuu zangu nimegundua hawastahili kufanyiwa ufataki..... vinginevyo niko radhi kuwaoa mwenyewe.....Sasa buddy mbona unakuwa mnoko hata siku yako ya kufurahi pamoja na ndugu, jamma na marafiki?
ADI anajaribu kuniwekea mazingira mazuri ili niji feel at home lkn we unammaindi!
Siku kama ya leo unakuwa mvumilivu tu ili nami nijumuike na jukuuz na wapwaz!
Mwaliko kwa wanaume hua atoa mwaliko Sweetie, ngoja nikafikishe ujumbe and he will call you (labda kama mna bifu na siamini! lol)
Ukiwa shem wangu namba 1 yaaki Festishemu wangu, utakachosema kwangu ni amri. Natekeleza.Shem nisharekebisha usiwe na wasi kabisa.... Tuliza pressure.... haya baaas unaonaje upate tikiti saizi? it has been long toka mara ya mwisho umekula.... Zion D alikua hajajipanga vema kanipa hayo maagizo, ajipange atoke vipi....lol.. asije akaja na dera bure....
Hommie naomba mwongozo wako: Ile rule #3 ina apply hata kwa wajukuu? Am doomed!Kwen geti yupo Kimey hommie......we tulia zako ndani...mbona unakuwa so precocious?
Mie nimetulia tu hapa nawasoma mnavyojazana ujinga........................
Happy Birthday Mzee Mwenzangu Asprin..............Hawa watoto weshanishinda maana kila siku kunipa presha tuuuuuuu......
Huyo mzee mwenzangu ntakuwa naye haitebo. Chondechonde watu wa getini hakikisheni haingii na ule msuli wake au ile kaunda suti yake ya rangi ya njano (jamaa linaipenda yanga kuliko mkewe) Ila ananichaanganya anapoivaa hiyo kaunda suti yake na raba za zambarau.... Akija kihivyo, sherehe itaahirishwa mpaka itakapotangazwa tena.Hivi Mtambuzi kapewa kazi gani wajameni? lol
ADI,
Sina bifu lolote na mwanaMMU, labda awe ni Rejao!lol
Kama my sweet wako amekuruhusu uje kujumuika nasi katika hatua ya tatu ya hii besdei sidhani kama atafanya hiyana kunipa mwaliko rasmi.
We mpelekee limeseji tu, nshaanza maandalizi ya kukaribishwa.
Unajua mate bado sijajua kama kale katabia kako ka ufataki umeshakaacha au la. Ukaguzi nliowafanyia wajukuu zangu nimegundua hawastahili kufanyiwa ufataki..... vinginevyo niko radhi kuwaoa mwenyewe.....
Ukiwa shem wangu namba 1 yaaki Festishemu wangu, utakachosema kwangu ni amri. Natekeleza.
Hommie naomba mwongozo wako: Ile rule #3 ina apply hata kwa wajukuu? Am doomed!
Hivi Mtambuzi kapewa kazi gani wajameni? lol
Ukiwa shem wangu namba 1 yaaki Festishemu wangu, utakachosema kwangu ni amri. Natekeleza.
Hommie naomba mwongozo wako: Ile rule #3 ina apply hata kwa wajukuu? Am doomed!