Happy birthday lovely husband Vin Diesel

Happy birthday Vin Diesel
Mwenyezi Mungu akujalie maisha ya heri na baraka na ubarikiwe sana sana
Maisha yako yakawe ya baraka na furaha na uishi maisha marefu sana sweetlady jua kwamba The Finest kasepa na pesa za suti na sasa hivi hapa natembea na RB hivyo popote atakapoonekana akamatwe
japo nasikia jana alionekana mitaa ya samaki samaki akiwa njwiiii
Afu Mr Rocky ntaongea na wajumbe ili tuangalie namna ya kukutoa wewe na The Finest kwenye kamati manake mmezidi kula hela za shughuli. Kwenye b'day ya Young Master wewe ulikula hela ya gas ukasababisha tupikie kuni lol, TF nae kala hela ya thuti hahahaha, hamfai asee!
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana Asprin....bibi ya hao wajukuu bila shaka ni sweetlady.....
Orayt then... kamata hii keki kwa hisani ya Boflo.

attachment.php
 
Nashukuru sana Shem wangu wa ukweli Catherine....mama watoto wangu sweetlady bday yangu anaijua na wala hahitaji birth certificate.....

shem wa ukweli, mi nawaombea muwe mfano mzuri wa kuigwa. Ngoja sie tuendelee kuburudika. Dj BAK niwekee kiduku nimburudishe birthday boy. (eti mtoto wapenda viduku?)
 
Last edited by a moderator:
Mwaaaaaah hapo kwenye kiatu ndio mana nmekuchagua wewe kipenzi...(napost via mchina lol, nkihamia via kompyuta utalamba LIKE)

Kadogoo yuko poa kabisa anakupa hi mamake wa ubatizo!
mama wa ubatizo sipendi utani haswa kwenye masuala serious kama haya! nna uhakika hutajuta, vitanoga mbayaaaaaa! na huo mguu wa bia ulojaliwa ndiyo kabisaaaaaaaaaaa!
 
Hahahaha.........furaha yako ni shibe yangu. Cheka tena kidogo basi niachie kaushuzi ka shibe.
khaaaaaaa nimecheka sana! nawamiss sana, msalimieni mno allah tashriff! nawamiss mnooooooooo! mwahhhhhh!
 
khaaaaaaa nimecheka sana! nawamiss sana, msalimieni mno allah tashriff! nawamiss mnooooooooo! mwahhhhhh!
Hehehehe! tena ana wivu na wewe khaaa! Anasema siku hizi nakufaidi peke yangu......! Hutaki kucheza na yeye tena eti...Khaa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom