Happy birthday lovely husband Vin Diesel

hubby imekuaje tena na wake wenzangu jamani?? si ulishakatazaga wake zako kuwekwa kwenye hayo mashindano?? lol, hubby hamishia hayo malabuku zao utosini ebo! have missed u too hubby, and u knw that!

bora umekuja hubby....
nani huyo anathubutu kunishindanisha mke wa ujana wako kwenye mashindano ya umiss?

Yaani wake wa Asprin tupite jukwaani na kanjiri na kichupi?

I see....

Vijana wa siku hizi heshima zero kabisa
Haya, Ruhazwe JR popote pale ulipo, ukuje pande hii ASAP uwasome wake zangu cacico na BADILI TABIA.
 
Last edited by a moderator:
aahhh my dada sweetlady, ni kiktambo kidogo sijakutia machoni, hope kadogoo hajambo! Vin Diesel my she m wa ukweeeeeeeeeee HAPPY BIRTHDAY, may u live to blow a 1000 candles! MUNGU MWEMA AKULINDE SHEMEJI, NA AKUPE KILA LA HERI!
sweetlady kiatu chako kitatua na KLM muda mfupi ujao, ni CL ya nguvu, leo utakuwa among wake wa wadhungu, lol!

Thanks a lote for the wishes my dear....ubarikiwe sana cacico.....
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Vin Diesel
Mwenyezi Mungu akujalie maisha ya heri na baraka na ubarikiwe sana sana
Maisha yako yakawe ya baraka na furaha na uishi maisha marefu sana sweetlady jua kwamba The Finest kasepa na pesa za suti na sasa hivi hapa natembea na RB hivyo popote atakapoonekana akamatwe
japo nasikia jana alionekana mitaa ya samaki samaki akiwa njwiiii

Nashukuru sana mkuu Rocky kwa wishes... The Finest tulishamstukia na kuna nyingine tuliandaa mapema kabisa.....
 
Last edited by a moderator:
Aisee unanisingizia, mie wala sina jazba kabisa, niko na furaha sana vile leo mume kipenzi kazaliwa! Agiza kinywaji basi.

nanii muhudumu naomba banana hapa na kiroba,usisahau glas ya kuchanganyia maana siunajua mtoto kazaliwa anavigimbi vya kufa mtu
 
Happy birthday Von Diesel, nasubiri BAK aweke mambo sawa ili tufungue mziki, ila ninahitaji mwanaume mmoja bonge hivi ili afungue mziki na Erotica just in case akijikwaa ili amdake. Mimi nitadance na nani vileeee, nimemsahau.

BTW what is the color of the party?
 
Last edited by a moderator:
Ndahani ukiona nimekualika jua nakuweza mpaka basi so usiwe na wasi agiza utakacho mpendwa!

Ngoja niandae nguvu maana baada ya kufurahi na kushereheka, waafrika huwa hatuendi kulala bila mwendelezo wa sherehe...na kwa kuwa wageni waalikwa watakuwa wengi akiwemo Erotica, mi sina shaka. Furaha yangu furaha yako, teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
aahhh my dada sweetlady, ni kiktambo kidogo sijakutia machoni, hope kadogoo hajambo! Vin Diesel my she m wa ukweeeeeeeeeee HAPPY BIRTHDAY, may u live to blow a 1000 candles! MUNGU MWEMA AKULINDE SHEMEJI, NA AKUPE KILA LA HERI!
sweetlady kiatu chako kitatua na KLM muda mfupi ujao, ni CL ya nguvu, leo utakuwa among wake wa wadhungu, lol!
Mwaaaaaah hapo kwenye kiatu ndio mana nmekuchagua wewe kipenzi...(napost via mchina lol, nkihamia via kompyuta utalamba LIKE)

Kadogoo yuko poa kabisa anakupa hi mamake wa ubatizo!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niandae nguvu maana baada ya kufurahi na kushereheka, waafrika huwa hatuendi kulala bila mwendelezo wa sherehe...na kwa kuwa wageni waalikwa watakuwa wengi akiwemo Erotica, mi sina shaka. Furaha yangu furaha yako, teh teh teh
Me like that... Mwaaaaaah!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom