BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
happy birthday shemeji
Tafadhali usituharibie shughuli, rudi huko kwenye huo uzi wako ukapigie debe huko, hapa tuko kisherehe zaidi.
Happy to see you swahiba lol. Hii shughuli leo itakuwa nzuri sana! Karibu thana eeh!Happy Birthday Vin Diesel
Samahani nimechelewa kufika wifey. Kuna mzembe eti anakushindanisha wewe na Yummy kwenye shindano feki la umiss cht chat. Hivi ma Mrs watashirikije mashindano ya vimiss? Nimetoka kuwapa za uso na nimewatahadharisha waondoe majina yenu. Nimewapa dakika 30 za kuniomba razi kabla sijawageuza jinsia zao na kuwakabizi mimba.halafu sweetlady mie ndo nishafika hapa......
Kuhusu swala la kuremba ukumbi shaka ondoa, keki ipo tayari na mc anatest mitambo.....
Asprin leo no beer baby, maana tukitoka hapa tunaenda kwenye fivesome, cacico keshajiandaa na shanga yake ya dhahabu, na kungu aliyoagiza Yummy zishafika, parti ikiisha tunamchukua Kongosho tunaenda kula raha .....weekend oyeeeeeee
Happy birthday to You!
Happy birthday to You!
Happy birthday dear Vin Diesel!
Happy birthday to You!
How old are you now?
How old are you now?
Happy b'day happy b'day, happy b'day to you!
Dearest Mwenyezi Mungu akujalie afya njema, akupe maisha marefu yenye furaha, amani na upendo!
Nipo mahali very busy, hapa napost via mchina ndio mana nimeshindwa kukurembea ukumbi mpenzi, ila usijali love manake wajua vile nnavyokupenda so i hope utaridhika na kufurahia hata hiki kidogo kutoka kwangu .
Vile wana chit chat wamejaliwa kuwa na moyo wa upendo nna hakika watajitokeza kufurahia pamoja nasi!
Asprin popote ulipo tafadhali nisaidie kuwaita warembaji wa ukumbi! Afu wewe leo BADILI TABIA kasema upewe maji tu, ndovu hapana!
afrodenz popote ulipo unahitajika mpendwa!
Bishanga atatuletea keki, hakikisha ni nzuri na itamfanya husband azidi kuwa mwenye furaha! Plz umwambie na nduguyo nitonye aje kwaajili ya kusafisha vyombo!
Kongosho na wifi AshaDii watashughulikia chakula!
King'asti, Erickb52, Remmy, Catherine, Kaizer, gfsonwin, Mamndenyi, charminglady,, Preta PakaJimmy, watashughulikia vinywaji.
platozoom na mkewe ummu kulthum wameahidi kujitolea gari. Tafadhalini sana isijekuwa ni kale kamkweche chenu mkajatuharibia shughuli!
Young Master, BAGAH, Baba V watatusaidia kuhudumia wageni waalikwa!...
Paw atakuwepo kulinda mlango, ole wake atakaejaribu kuzamia na kuleta fujo. Atashirikiana kwa karibu sana na figganigga aka mzee wa mia!
The Finest na Mr Rocky watashughulikia suti ya baby Vin Diesel. Yummy na cacico watashughulikia gauni la sweetlady pamoja na mchuchumio wa nguvu lol!
Blaki Womani wewe sikupendi ndio mana sijakupanga popote, huchelewi kunivunjia ndoa ! Ole wako nikukamate!
KARIA , Ndahani, Kaunga, Erotica (pole kwa kulea mimba) mtatufungulia muziki utakaoandaliwa na BAK akisaidiana na The Boss mda ukiwadia! Haijalishi hata kama Erotica kachoka!
Mwaaaaaaaa kwa yeyote atakaepita kwenye uzi huu na kumtakia kheri sweet husband! Nawapenda wote!
Hehehehe, lengo langu mlewe afu mkifika majumbani mwenu mkapigane kesho tuje na husband kuwasuluhisha lol.
Haya wasalimie , usichoshe wageni waalikwa na hiyo kampeni yako.