Happy birthday lovely husband Vin Diesel

Hehehe! Umbea kanifundisha gfsonwin, najutaje! Siku nikisutwa tu ntaacha!

weweeee! umesahau sheria za kuwa mmbea? usiseme uongo kamwe ila sema kweli daima hata kwa wale ambao hawastahili kuambiwa.

mmbea ni mtu apelekaye taarifa za ukweli bila kuulizwa. huyu ni kimyume cha mwongo ambaye huvumisha uongo ili kuchonganisha. sasa usjali mmbea hasutwi bali mwongo ndo husutwa.
 
Lol, asante mwalimu mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom