Happy birthday lovely husband Vin Diesel

sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,947
8,409
Happy birthday to You!

Happy birthday to You!

Happy birthday dear Vin Diesel!

Happy birthday to You!

How old are you now?

How old are you now?

Happy b'day happy b'day, happy b'day to you!

Dearest Mwenyezi Mungu akujalie afya njema, akupe maisha marefu yenye furaha, amani na upendo!



Nipo mahali very busy, hapa napost via mchina ndio mana nimeshindwa kukurembea ukumbi mpenzi, ila usijali love manake wajua vile nnavyokupenda so i hope utaridhika na kufurahia hata hiki kidogo kutoka kwangu .

Vile wana chit chat wamejaliwa kuwa na moyo wa upendo nna hakika watajitokeza kufurahia pamoja nasi!




Asprin popote ulipo tafadhali nisaidie kuwaita warembaji wa ukumbi! Afu wewe leo BADILI TABIA kasema upewe maji tu, ndovu hapana!


afrodenz popote ulipo unahitajika mpendwa!

Bishanga atatuletea keki, hakikisha ni nzuri na itamfanya husband azidi kuwa mwenye furaha! Plz umwambie na nduguyo nitonye aje kwaajili ya kusafisha vyombo!


Kongosho na wifi AshaDii watashughulikia chakula!


King'asti, Erickb52, Remmy, Catherine, Kaizer, gfsonwin, Mamndenyi, charminglady,, Preta PakaJimmy, watashughulikia vinywaji.


platozoom na mkewe ummu kulthum wameahidi kujitolea gari. Tafadhalini sana isijekuwa ni kale kamkweche chenu mkajatuharibia shughuli!


Young Master, BAGAH, Baba V watatusaidia kuhudumia wageni waalikwa!...


Paw atakuwepo kulinda mlango, ole wake atakaejaribu kuzamia na kuleta fujo. Atashirikiana kwa karibu sana na figganigga aka mzee wa mia!


The Finest na Mr Rocky watashughulikia suti ya baby Vin Diesel. Yummy na cacico watashughulikia gauni la sweetlady pamoja na mchuchumio wa nguvu lol!


Blaki Womani wewe sikupendi ndio mana sijakupanga popote, huchelewi kunivunjia ndoa ! Ole wako nikukamate!


KARIA , Ndahani, Kaunga, Erotica (pole kwa kulea mimba) mtatufungulia muziki utakaoandaliwa na BAK akisaidiana na The Boss mda ukiwadia! Haijalishi hata kama Erotica kachoka!


Mwaaaaaaaa kwa yeyote atakaepita kwenye uzi huu na kumtakia kheri sweet husband! Nawapenda wote!
 
Last edited by a moderator:
happy birthday day my shem, sweelady my dada naomba kusimamia vinywaji vikali vikali i.e. whisky & wines. ntahakikisha watu wanalewa tilalila. . .
 
Last edited by a moderator:
Hapi besidey kichaa wangu. Leo nimeamka kimtindo nagonga mazimuzi then after kuzimua naja fasta kwenye mnuso. Pata miaka 150.
 
hivi sweetlady,
unataka nikuelekezeje?
huko sio kwangu...sasa vinywaji kama ndovu ni nani atasimamia?
Watasimamia hao waliopangwa BAGAH, wewe nakujua vema ulivyo cha pombe ndio mana nimeshindwa kukuweka huko, bado nakupenda sana shemeji langu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom