Happy birthday lovely husband Vin Diesel

Happy birthday lovely husband Vin Diesel

Mie nimevalia nguo za sikukuu na viatu vipya, napigwa baridi hapa! Kwani party ni wapi? Huyu mwenye bajaj ataniua leo!


Umemtoroka shemeji Paw?.....manake yeye anajua mahali party inafanyika......afu kale kagari ushakauza kama avatar yako eeh?......iweje wasubiri bajaji sahizi?
 
Last edited by a moderator:
Kagari kangu niendeshe usiku, kakiibiwa ntamuambiaje Paw? Shemejio yuko na Asprin wana kikao cha dharura manake Kongosho kapewa talaka na The Boss!
Umemtoroka shemeji Paw?.....manake yeye anajua mahali party inafanyika......afu kale kagari ushakauza kama avatar yako eeh?......iweje wasubiri bajaji sahizi?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Zinduna ananiogopa yule haniwezi! Tukikutana kule kwa gfsonwin ntakupa mkanda mzima. Ila kijuu-juu jmushi1 ndo anataka kumuoa Kongosho, ila Konnie hajaamua nahisi. Kwa heri, mie naingia disco vumbi! Besdei ntakuja kula viporo na chai kesho
 
Last edited by a moderator:
Mmmh, hivi nina talaka kumbe
Makubwa, ngoja nikaulize


Alikuambia na wewe? Leo analala bafuni

Hebu kuwa na huruma na mtoto wa mwanamke mwenzio.......umlaze bafuni kisa nini?
 
Mmmh, hivi nina talaka kumbe
Makubwa, ngoja nikaulize


Alikuambia na wewe? Leo analala bafuni

Nilikuambia endelea kutumia bhange kama mie ukajifanya unahamia kwenye mirungi. Unaona sasa, hata memory zinafuta. Unamkumbuka jmushi1?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom