Happy birthday lovely husband Vin Diesel

Samahani nimechelewa kufika wifey. Kuna mzembe eti anakushindanisha wewe na Yummy kwenye shindano feki la umiss cht chat. Hivi ma Mrs watashirikije mashindano ya vimiss? Nimetoka kuwapa za uso na nimewatahadharisha waondoe majina yenu. Nimewapa dakika 30 za kuniomba razi kabla sijawageuza jinsia zao na kuwakabizi mimba.
hubby ni kweli unenayo, abiria chunga mzigo wako, hebu ukuje nishakunyooshea pamba zako, tuelekee kunako party ya Vin Diesel ebo!
 
Tena wewe nimekumisije unajua? Hebu twende kule tukaendeshe kampeni ya kuwanyofoa Yummy na BADILI TABIA kweye udhalilisho. Tangu uwagaragaze last time wamechanganyikiwa wanataka kutuharibia ndoa yetu kwa wivu. Na miaka yako 46 umewagaragaza ingekuwa enzi zako ukiwa na 20 ungewafunikaje? Khaaaa!
 
Last edited by a moderator:

hubby imekuaje tena na wake wenzangu jamani?? si ulishakatazaga wake zako kuwekwa kwenye hayo mashindano?? lol, hubby hamishia hayo malabuku zao utosini ebo! have missed u too hubby, and u knw that!
 
Tena wewe nimekumisije unajua? Hebu twende kule tukaendeshe kampeni ya kuwanyofoa Yummy na BADILI TABIA kweye udhalilisho. Tangu uwagaragaze last time wamechanganyikiwa wanataka kutuharibia ndoa yetu kwa wivu. Na miaka yako 46 umewagaragaza ingekuwa enzi zako ukiwa na 20 ungewafunikaje? Khaaaa!

uwiiiiiiii hazibendi mie na Yummy tumebandikwa wapi?
 
Last edited by a moderator:
Samahani nimechelewa kufika wifey. Kuna mzembe eti anakushindanisha wewe na Yummy kwenye shindano feki la umiss cht chat. Hivi ma Mrs watashirikije mashindano ya vimiss? Nimetoka kuwapa za uso na nimewatahadharisha waondoe majina yenu. Nimewapa dakika 30 za kuniomba razi kabla sijawageuza jinsia zao na kuwakabizi mimba.

bora umekuja hubby....
nani huyo anathubutu kunishindanisha mke wa ujana wako kwenye mashindano ya umiss?

Yaani wake wa Asprin tupite jukwaani na kanjiri na kichupi?

I see....

Vijana wa siku hizi heshima zero kabisa
 
Last edited by a moderator:
halafu sweetlady mie ndo nishafika hapa......
Kuhusu swala la kuremba ukumbi shaka ondoa, keki ipo tayari na mc anatest mitambo.....

Asprin leo no beer baby, maana tukitoka hapa tunaenda kwenye fivesome, cacico keshajiandaa na shanga yake ya dhahabu, na kungu aliyoagiza Yummy zishafika, parti ikiisha tunamchukua Kongosho tunaenda kula raha .....weekend oyeeeeeee

Oyeeeeeeeee............heri ya sikukuu ya kuzaliwa bwana shemeji Vin Diesel
BADILI TABIA vipi kungu inatosha au niongeze?naona sweetlady kaniPM hapa na yeye anataka
 
Last edited by a moderator:
Samahani nimechelewa kufika wifey. Kuna mzembe eti anakushindanisha wewe na Yummy kwenye shindano feki la umiss cht chat. Hivi ma Mrs watashirikije mashindano ya vimiss? Nimetoka kuwapa za uso na nimewatahadharisha waondoe majina yenu. Nimewapa dakika 30 za kuniomba razi kabla sijawageuza jinsia zao na kuwakabizi mimba.

Mie Yummy huyu huyu kuingizwa kwa shindano bila kujijua inahuu???!!!hebu ngoja niwafungie safari..... BADILI TABIA com zis way tukawatoe utumbo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom