King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,980
guys,senkyu all fo nice msgs.nitakuja soon kujibu all of them. niko busy manake kwa wasiofunga nafukuzia vinywaji na vyakula vya hapa na pale,manake jioni nimeiweka kwa ajili ya futari itakayoandaliwa na wifi yangu ashadii na kaizer (aliyeitwa mume mtegaji kupika). hivi mume wa wifi kwa kizungu na kiswahili anaitwaje?