=*=*=*Happy Birthday King'asti=*=*=*

=*=*=*Happy Birthday King'asti=*=*=*

Happy Birthday My dear King'asti (nashangaa babu ODM kusema eti jina gumu hili)

Me na Mpenzi wangu AshaDii tunakuandalia bonge la futari leo.,, na madamu umeahisi kutokuja na AK47 basi hata waoga waoga kama Kina TF na Kimey watakuwepo (kimey hatakuwa peke yake, supposedly)

I wish you many happy days ahead,
Hommie inaelekea we hujafunga, nimesema linakuwa gumu ukiwa na njaa.......... na unajua tena swaumu na jua hili ilivyo kali.... Sijaona sehemu ukimsalimia shem wangu.....Hii tabia umeanza lini?
 
Sweetie... that is so sweet of you.....
 
Ninaungana na WanaJF kwa kukutakia kila heri, baraka, mafanikio na furaha,
Kwa siku hii na siku zote za maisha yako. Ninakuombea uishi maisha marefu
Yaliyojaa afya njema, amani, upendo, mapenzi na mafanikio: yote hayo ukiwa umejawa na FURAHA TELE.

HONGERA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA!
HAPPY BIRTHDAY!
EID MILAD SAEED!
JOYEUX ANNIVERSAIRE!
FELIZ CUMPLEAÑOS!
ALLES GUTE ZUM GEBURTSTAG!
 
Hommie inaelekea we hujafunga, nimesema linakuwa gumu ukiwa na njaa.......... na unajua tena swaumu na jua hili ilivyo kali.... Sijaona sehemu ukimsalimia shem wangu.....Hii tabia umeanza lini?

khaaaa...hommie hii defensive mechanism yako.......mbona kama ya zamani kama wewe mwenyewe aisee.. dah...unategemea ivo kweli...
 
Hahahahahaha...... ROFL!......... Kweli Rais ni Rais na Pope ni Pope lol

Orait, baad aya kuelewa hebu nambie huyu King'asti tunamuandalia nini baada ya futari?

Mi napendekeza kuwe na kambege kidogo, kudumisha mila, kisha biya biya biya. Halafu tutamweka Fidel mlangoni ahakikishe hakuna anayeingia na Silaha

Sweetie wangu AshaDii anaandaa vitu vizito hadi najiuliza itakuwaje, of course ntaanza kuvionja mimi

halafu ntaomba katiba izingatiwe. Mgao wa TANESCO hautakuwepo, na amfuta mtajaza pale pale nyumbani....BP my masaburi....
 
Tatizo hommie hujamsoma sweetie wako vizuri... Nimekuwekea Bandiko lake hapo kwa msaada zaidi..........ole wako uhusishe nukuu hiyo na umri wa babu ODM.............This time ntakusemea......

N;B Tokana na kua huu ni mwezi mtukufu wa Ramdhani, hakutakua na sherehe bali
nakuandalia futari ya nguvu (kakako kaahidi kunisaidia – as much as mvivu kupika)
na sunnah tutapata Choclate cake in the shape ya hio toy kwenye Avatar….
Hivo futari ya leo ndugu na jamaa wa karibu wataalikwa…..

Tatizo hommie hujamsoma sweetie wako vizuri... Nimekuwekea Bandiko lake hapo kwa msaada zaidi..........ole wako uhusishe nukuu hiyo na umri wa babu ODM.............This time ntakusemea......

Tulikua woote hapa room... (thou tumepeana migongo wakati tupo hapa jamvini)
Hio post kanikwaza.... Nashukuru umeliona hilo ODM... imenibidi nitoke nje... Toka jana simuelewi...
Sijui kuna nini... nimejaribu omba msamaha kwa MJ1 Kule, kakubali but.... Dah!
 
Orait, baad aya kuelewa hebu nambie huyu King'asti tunamuandalia nini baada ya futari?

Mi napendekeza kuwe na kambege kidogo, kudumisha mila, kisha biya biya biya. Halafu tutamweka Fidel mlangoni ahakikishe hakuna anayeingia na Silaha

Sweetie wangu AshaDii anaandaa vitu vizito hadi najiuliza itakuwaje, of course ntaanza kuvionja mimi

halafu ntaomba katiba izingatiwe. Mgao wa TANESCO hautakuwepo, na amfuta mtajaza pale pale nyumbani....BP my masaburi....

Sweetie nimetuma uzi COMPLAINTS wa kuomba kitufe cha DISLIKE....
 
I wish you a lovely day, not just today because it is your birthday, but all year round. May you always wake up in the morning with a smile on your face. Happy Birthday to you mamaa King'asti.
XoXo
 
Tulikua woote hapa room... (thou tumepeana migongo wakati tupo hapa jamvini)
Hio post kanikwaza.... Nashukuru umeliona hilo ODM... imenibidi nitoke nje... Toka jana simuelewi...
Sijui kuna nini... nimejaribu omba msamaha kwa MJ1 Kule, kakubali but.... Dah!
Now what is this........keep cool shem.... I know my hommie.....anatelezaga anapokuwa na mastress......
 
Tatizo hanihusishi.... how am i able to help and he is my lov... I feel left out...

Tumeelewana vizuri itakuaje kabla mie sijapost then anakuja badili tena, nini manake?
 
Duh...hapa kimeumana mazima...ivi ODM kama sio uzee, ni wapi nimesema kuna Sherehe? afu kimila zetu unajua kufuturu maana yake ni nini...halafu ndo utakuwa unatoa machozi umekuja kwa hommie wako afu hatuja do ze ndiful (ase kwetu si unajua bila mbege ni kasheshe mwenyewe utabip na kuondoka lol)
 
Unajua shem, hommie wangu alipata F katika somo la ULINZI SHIRIKISHI..........AshaDii akilijua hilo anapaswa kumwelewa na kupotezea weakness zake.......... Sema umenielewa shem......
 
Duh...hapa kimeumana mazima...ivi ODM kama sio uzee, ni wapi nimesema kuna Sherehe? afu kimila zetu unajua kufuturu maana yake ni nini...halafu ndo utakuwa unatoa machozi umekuja kwa hommie wako afu hatuja do ze ndiful (ase kwetu si unajua bila mbege ni kasheshe mwenyewe utabip na kuondoka lol)

Kaizer Sweetie kabla hujaanza nisadia (thou najua tu unatega) tuyamalizie tu room... hapa tuondoke....

Unajua shem, hommie wangu alipata F katika somo la ULINZI SHIRIKISHI..........AshaDii akilijua hilo anapaswa kumwelewa na kupotezea weakness zake.......... Sema umenielewa shem...... )

THANK GOD you are my shem..... Dah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom