=*=*=*Happy Birthday King'asti=*=*=*

=*=*=*Happy Birthday King'asti=*=*=*

Happy Birthday King'asti.....Mungu akupe maisha marefu uzidi kung'ara.........

Duh! Kumbe connexions hapa JF ni balaa....
Happy Birthday King, I wish you success and love for tihs new year, may all your resolutions materialize and all your dreams come true. Nakutakia maisha marefu yenye fanaka na furaha.
King.jpg

dah, wifi, thanks so much aisee. im honoured of the way u think of me. lol,i remember that late night when i found u (and the boss ofcoz). inabidi leo bday gal nae afunge ili futari iingie kiuzuri. hiyo keki iwe black forest tena homemade basi...yaani na sala ya alasiri ntakuwa hapo kwako,bunduki ntaacha home nibebe mswala

asante preta, inshaallah tena uwe mng'aro wa kiwi.
Happy Birthday King'asti.....Mungu akupe maisha marefu uzidi kung'ara.........

cake.jpg
ndio kazawadi kangu hako kwa ajili ya birthday yako Cheers!

thanks rr for the nice gift and them wishes
hahaha, and anything russian feels like mafiosso connected,lol!
Duh! Kumbe connexions hapa JF ni balaa....

Happy Birthday King, I wish you success and love for tihs new year, may all your resolutions materialize and all your dreams come true. Nakutakia maisha marefu yenye fanaka na furaha.

babu,nikisema yote juu yako, hata mbingu ziwe karatazi na maji ya bahari yawe wino, havitatosha. hata miti yote itumike kutengeneza kalamu zitachakaa na kuisha kabla sijamaliza kuandika vyote! too smart inaonesha sijui nielezeeje!
Hicho tu ndo waweza kukisema juu yangu?

babu,nikisema yote juu yako, hata mbingu ziwe karatazi na maji ya bahari yawe wino, havitatosha. hata miti yote itumike kutengeneza kalamu zitachakaa na kuisha kabla sijamaliza kuandika vyote! too smart inaonesha sijui nielezeeje!

Namshukuru Mungu aliye juu kwa kukuumba mwanamke. Ungekuwa mwanaume mimba mtaani zisingehesabika..... mtoto una maneno matamu ya kutongozea sijapata ona. Hebu nrushie mengine kwenye PM nikayafanyie kazi........LOL

hahaha,ningeumbwa mwanaume ningeringa ile mbaya. ninge-concentrate kwa mdada mmoja tu,nimpende kwa akili hadi achanganyikiwe. and i wld dare u umtokee uone majibu utakayopewa,lol! nikianza kukuibia kwenye pm utadata ukanisemee kwa bibi buree! akhuu,staki. kwanza ushamuambia mjukuu wako kule kwenye 'sorry' unavyommwagia bibi chozi?

Mjukuu naye mkorofi, hivi anayemwambia mwenzie sorry ni babu au bibi?

idadi ya pampers itategemea na uhodari wako mpishi. asavali,manake nlikuwa naogopa moto,lol
Kwenye upishi usiwe na wasiwasi, hivi kwa siku utakuwa unahitaji pampers ngapi vileee???

Let your life be full of positives things... abundantly...
Birthday wishes from RR, to King'asti.

bibi najua huwa hakukosei, ni mwingi wa mapenzi na msafi wa tabia. ww ndo mkosefu,kila siku unajikwaa! shauri yako!
Mjukuu naye mkorofi, hivi anayemwambia mwenzie sorry ni babu au bibi?

thanks a zillion mkuu. be blessed right back onto ur face
Let your life be full of positives things... abundantly...

Birthday wishes from RR, to King'asti.

Similar Discussions

Back
Top Bottom