=*=*=*Happy Birthday King'asti=*=*=*

=*=*=*Happy Birthday King'asti=*=*=*

wifi na kaka,asanteni sana kwa salamu za upendo. and i lv the part of 'celebratable birthdays, very true! it was a happy one,thanks oh!
Happy just a little- belated birthday wifi.

I hope you were surrounded by beautiful people all day (kwahiyo hukukasirika wala kuboreka) thus making your birthday a wonderful one.

We (na kaka yako hapa) wish you alot more happy and celebratable birthdays to come...alot of blessings ...alot of love..joy and happiness!

Be blessed and stay blessed!!

mbona sikuoni? niko hapa babu, inabidi hiyo belated besdei lunch uitoe tu. afu hili jina uwe unapiga funda moja ndo unalitamka,pole weeh!

Hommie......ngoja niwahi Calabash nikasherehekee birthday ya King'asti (damn, hili jina hili.......khaaaa)

mbona sikuoni? niko hapa babu, inabidi hiyo belated besdei lunch uitoe tu. afu hili jina uwe unapiga funda moja ndo unalitamka,pole weeh!

Niko huku kwa nje nahesabu magari...hebu come this way.......

jamani, kwa ma-care haya, i wish @day to be my bday! come to think of it,hivi kwa nini tunacelebrate mtu only once a year?
Happy belated birthday dear,nilipita hapa jana lakini nikaogopa hiyo bunduki hahaha! hii vita ndio ya ukombozi wa pili nini ?

ndo maana mi nilitaka pledges zitangulie. ila kwa futari niliyokula jana, kama amechakachua hamna neno. nishasamehe kabla!
ha ha ha haaa.......kwangu pipi ziko available all the time, embu ngoja nimzungukie AshaDii aseme vizuri au alizigawa njiani?!!

uporoto, hii binduki usiiogope. ni kuonesha ulinzi upo tu, hapana chezea yeye! senk yu anyways.
Happy belated birthday dear,nilipita hapa jana lakini nikaogopa hiyo bunduki hahaha! hii vita ndio ya ukombozi wa pili nini ?

jamani, kwa ma-care haya, i wish @day to be my bday! come to think of it,hivi kwa nini tunacelebrate mtu only once a year?

mimi kwa mwaka natakiwa nicelebrete mara mbili.ile ya kwa mama na kanisani.lakini huwa hata miaka minne inapita bila taarifa yoyote kama nina bday.naona kwa wengine tu.nikimpata wife atakua na kazi ya kunikumbusha haya mambo lol.mia

usijali my dear, soon utapata. hivi ushatupa ndoano humu jamvini? pitia na uzi za wadada wanaosaka wenzi (inakuwa kama unatumia cv za recruiting agency). if i can be of any help, tuanze mchakato.

mimi kwa mwaka natakiwa nicelebrete mara mbili.ile ya kwa mama na kanisani.lakini huwa hata miaka minne inapita bila taarifa yoyote kama nina bday.naona kwa wengine tu.nikimpata wife atakua na kazi ya kunikumbusha haya mambo lol.mia

mwenye masikio na asikie! ila wakifanya hivi mmu kutakuwa hakuna cha kujadili,lol!!

Umeona eeeh??? lol bora basi wasikamilishe... where will we be bila MMU....lol

:clap2:unastahili wifi. it takes to be an extra person to remember stuff that will put a smile on ur face. kuna watu hawakumbuki hata kumuambia mgonjwa pole!! u ar a unique person, otherwise u must be having a secretary ( i hope sio shem, LOL!)!

ha ha ha Wifi... I am just a dedicated house wife... it helps loving to be a wife.... It
means you are a mom, sister, shem, aunty, daughter and all the related activities....

kumbe ni hii digirii ndo inanitesa? wifi njaa yote imeniisha! sikutegemea ungetoa collabo...na nilikuwa nanusa tuu,dah!!

Nimefurahi kua i still have the abillty kuku amaze....lol

hapo juu na hapa chini, babu u smell very fishy! wifi, watch me coz i am watching u! mi nna wivu na all married pple,ohoo!:angry:!

Don't worry about shem ODM... He is just a protective Great Shem....lol

afu nilikuwa sijajua kama dera linanitoa vile,lol! ntacha kukwaza watu na skintite sasa! asante kwa kunifumbua macho,lol!!

Wifi huo ushepu ulonao unategemea ningekuruhusu utengue sauma za kaka/baba zangu... ndo maana nilisisitiza dera... However you looked Great and beautiful as usual... ulimuona yule wa kwenye corner alivokufuata na macho every time...lol
:tea:wifi, i dont know what to say! thanks so much, and the cake was lovely! the best part is the no icing, bt chocolate spread,hahaha! na usiwe unamsingizia sweet wako banaa, sio mtegaji kiviile. yesterday was just lovely,thanks! family is the best thaning that can ever happen to anyone..:first:!

You don't need to say anything... and i am glad you loved the cake... Nashangaa nimerudi home bichwa limevimba (Sweetie asisome hapa...) kumbe umemsifia good conduct ya jana...lol... (he is a great man with great madhaifu machoni kwa wengine... but I Love him all the same....) And dear you are well come wakati wowote.... And i am glad you had fun...

Swali; jana mbona hukuniaga... uliondoka na nani??

wifi jamani, maswali gani hayo? lakini sikumbuki ati niliondoka na nani... hebu muulize sweet wako kama aliniona.kulikuwa na giza sana,bt i know i reached home safely,lol

ha ha ha haaa.......kwangu pipi ziko available all the time, embu ngoja nimzungukie AshaDii aseme vizuri au alizigawa njiani?!!

ndo maana mi nilitaka pledges zitangulie. ila kwa futari niliyokula jana, kama amechakachua hamna neno. nishasamehe kabla!

Jamani msije nitoa macho... hizo pipi alinipea njiani ziko bado kwenye dashboard

locker ya gari ya mwenza... akirudi tu nachukua na kumtuma kijana alete....lol

wifi jamani, maswali gani hayo? lakini sikumbuki ati niliondoka na nani... hebu muulize sweet wako kama aliniona.kulikuwa na giza sana,bt i know i reached home safely,lol

And you say you have stopped being nasty.. Sweetie nimemuuliza...

kasema kati ya Kimey or ODM... Or yule jamaa wa kwenye corner..

Similar Discussions

Back
Top Bottom