=*=*=*Happy Birthday King'asti=*=*=*

Happy birthday my dia.............Mungu akupe maisha marefu na matamu kuliko asali.:clap2:
 
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=35622&amp;stc=1" attachmentid="35622" alt="" id="vbattach_35622" class="previewthumb" /><br />
ndio kazawadi kangu hako kwa ajili ya birthday yako Cheers!
<br />
<br />
mwezi mtukufu huu mkuu, unapandisha ukali wa Saumu.
 
Heri ya siku ya kuzaliwa King'asti...ujaaliwe kuishi miaka miingi uone wajukuu zako wakifikisha umri uliofikia wewe leo!
 
I wish you a lovely day, not just to this day because it is your birthday, but all year round. May you always wake up in the morning with a smile on your face. Happy Birthday King'asti !
:popcorn:
 
dah, wifi, thanks so much aisee. im honoured of the way u think of me. lol,i remember that late night when i found u (and the boss ofcoz). inabidi leo bday gal nae afunge ili futari iingie kiuzuri. hiyo keki iwe black forest tena homemade basi...yaani na sala ya alasiri ntakuwa hapo kwako,bunduki ntaacha home nibebe mswala


Your word to me leo ni command.... chochote utapata! AND after all i never buy

birthday cakes for i believe home made (no matter how bad) are made with love....
 
Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa King'asti (Damn, majina mengine kuyataja shurti uwe umeshiba)

Mungu akuongezee miaka mingine mingi, uishi mpaka uwaone wajukuu wa wanao.

Ujaliwe kupata watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula, akuongezee maarifa na juhudi uweze kuhangaika kuwatafutia chakula wale mpaka wasaze. Ili wakuimbie wimbo wa siku yako ya kuzaliwa wakati ukizima mshumaa wako wa 75.

Samahani kiinglishi hakipandi kwahiyo sijui kama haya maombi na hizi heri nlizokutakia kama zina mashiko kwa Griit Thinkaz.... Ila namini Mungu amezipokea.

King'asti (damn jina hili bana) na AshaDii semeni Amina. Kwa herufi kubwa.


Neno la ODM halipingwi!!! Nasema AMINA.....
 
Duh! Kumbe connexions hapa JF ni balaa....
Happy Birthday King, I wish you success and love for tihs new year, may all your resolutions materialize and all your dreams come true. Nakutakia maisha marefu yenye fanaka na furaha.
View attachment 35621


Uje upate CV ya MMU kabisa ya hio connection....lol

BTW Thank you for the beautiful msg kwa wifi...
 
Mie nauliza tu, hivi huyu AshaDii ndio anetunza kalenda za Anniversarry za watu wa jukwaa la MMU? maana hata miaka 30 ya ndoa ya Faiza Foxy alitujuza yeye huyu.
Am just asking........

HOW TO IMPRESS A WOMAN

Compliment her, cuddle her, kiss her, caress her, love her, stroke her, tease her, comfort her, protect her, hug her, hold her, spend money on her, wine & dine her, buy things for her, listen to her, care for her, stand by her, support her, go to the ends of the earth for her.... and remember her Birthday & Annivesary...
 
Yeye ndo mwenyekiti wa kamati ya sherehe za Birthday na Anniversaries za wanachama hai wa MMU......

Unakaribishwa kujiunga..... Hakuna kokoro, kiingilio wala ada. Sharti ni moja tu: Hakuruhusiwi mastress wala matusi jukwaani.

Imetolewa na Utawala,

Imesainiwa na: Babu ODM kwa niaba ya MMU members kwa hisani ya AshaDii.

Leo 19/08/2011 Siku ya bethdei ya mwanachama hai King'asti (Damn jina gumu hili, khaa)


Yaani hii post i will tresure for ever katika hiyo heshima kubwa nilopewa..... Dah!

Asante ODM.... Naamini nikikwama utakua unaniongoza kwa ushauri wa hapa na pale...lol
 
Na hio ni kauli ya ODM.... Thank you..... (hivi nimetenda dhambi gani vile?? lol)
(La kutokupatikana pale ODM anapokuhitaji the most):angry:

Yaani hii post i will tresure for ever katika hiyo heshima kubwa nilopewa..... Dah!

Asante ODM.... Naamini nikikwama utakua unaniongoza kwa ushauri wa hapa na pale...lol
And you know where to find me, don't you shem?
 
Jamani... How do i jitetea hapa.... Dah! Just know kiroho i was with you thus the ujumbe via another....
Shhhhhhh..........kuna watu wana digrii za majilaz hapa LOL hawachelewi kuiloga skriin yako hapo isionyeshe posts za ODM
 
Happy Birthday My dear King'asti (nashangaa babu ODM kusema eti jina gumu hili)

Me na Mpenzi wangu AshaDii tunakuandalia bonge la futari leo.,, na madamu umeahisi kutokuja na AK47 basi hata waoga waoga kama Kina TF na Kimey watakuwepo (kimey hatakuwa peke yake, supposedly)

I wish you many happy days ahead,
 

Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom