=*=*=*Happy Birthday King'asti=*=*=*

=*=*=*Happy Birthday King'asti=*=*=*

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
16,189
Reaction score
18,116

King’asti Dear… the first time you caught this inquisitive eye of mine was
because of those sexy provocative lips of yours… My interest in you was piqued
for the first time katika ile thread ya SHE SAYS I AM TOO BIG tukiwa na The Boss..
And I thot moja kwa moja kua you were one of those members ambao ni full mzaha!!
However you are one of the members who proved me wrong – and
that I should never judge a JF member from the avatar alone…

With time I caught a glimpse of the Person behind the Avatar and above the Signature…
A personality full of life… sometimes a deliberately nasty gal, interested in issues beyond MMU – Focused
and serious when required; BUT most importantly a good and fun person…
In PMs you literally give me Big laughs (Thank you)

I am not only proud you are my wifi… But I am proud too that
you are one of the really good JF Lady friend…

:clap2: :clap2:…..Happy Birthday to you with abundant LOVE…..:clap2: :clap2:

N;B Tokana na kua huu ni mwezi mtukufu wa Ramdhani, hakutakua na sherehe bali
nakuandalia futari ya nguvu (kakako kaahidi kunisaidia – as much as mvivu kupika)
na sunnah tutapata Choclate cake in the shape ya hio toy kwenye Avatar….
Hivo futari ya leo ndugu na jamaa wa karibu wataalikwa…..

Happy birthday mpendwa King'asti... Mungu azidi kukupa maisha marefu...

Happy Birthday to you, Happy Birthday to you, Happy Birthday King'asti, Happy Birthday to youuuuuuu and many more!...

happy_birthday_beer.gif

dah, wifi, thanks so much aisee. im honoured of the way u think of me. lol,i remember that late night when i found u (and the boss ofcoz). inabidi leo bday gal nae afunge ili futari iingie kiuzuri. hiyo keki iwe black forest tena homemade basi...yaani na sala ya alasiri ntakuwa hapo kwako,bunduki ntaacha home nibebe mswala

haika monomao. na hiyo album ya mbege, inabidi iwe breakfast,lol. thanks.
Happy Birthday to you, Happy Birthday to you, Happy Birthday King'asti, Happy Birthday to youuuuuuu and many more!...

Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa King'asti (Damn, majina mengine kuyataja shurti uwe umeshiba)

Mungu akuongezee miaka mingine mingi, uishi mpaka uwaone wajukuu wa wanao.

Ujaliwe kupata watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula, akuongezee maarifa na juhudi uweze kuhangaika kuwatafutia chakula wale mpaka wasaze. Ili wakuimbie wimbo wa siku yako ya kuzaliwa wakati ukizima mshumaa wako wa 75.

Samahani kiinglishi hakipandi kwahiyo sijui kama haya maombi na hizi heri nlizokutakia kama zina mashiko kwa Griit Thinkaz.... Ila namini Mungu amezipokea.

King'asti (damn jina hili bana) na AshaDii semeni Amina. Kwa herufi kubwa.

Happy Birthday King'asti may this year be your best ever and this day always be the special one to remember may today be filled with sunshine and smiles, laughter and love

Mie nauliza tu, hivi huyu AshaDii ndio anetunza kalenda za Anniversarry za watu wa jukwaa la MMU? maana hata miaka 30 ya ndoa ya Faiza Foxy alitujuza yeye huyu.
Am just asking........

Mie nauliza tu, hivi huyu AshaDii ndio anetunza kalenda za Anniversarry za watu wa jukwaa la MMU? maana hata miaka 30 ya ndoa ya Faiza Foxy alitujuza yeye huyu.
Am just asking........
Yeye ndo mwenyekiti wa kamati ya sherehe za Birthday na Anniversaries za wanachama hai wa MMU......

Unakaribishwa kujiunga..... Hakuna kokoro, kiingilio wala ada. Sharti ni moja tu: Hakuruhusiwi mastress wala matusi jukwaani.

Imetolewa na Utawala,

Imesainiwa na: Babu ODM kwa niaba ya MMU members kwa hisani ya AshaDii.

Leo 19/08/2011 Siku ya bethdei ya mwanachama hai King'asti (Damn jina gumu hili, khaa)

babu,mhhh! sala nzuri sana, asante ila idadi ya watoto unge-specify ili nikadirie mahangaiko ya kuwataftia chakula. uzoefu wako unahitajika. pole kuhusu jina, sikubahatika kupata la kidhungu,kwetu wamisionari na masheikha walichelewa kufika manake barabara kulikuwa hamuna...
Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa King'asti (Damn, majina mengine kuyataja shurti uwe umeshiba)

Mungu akuongezee miaka mingine mingi, uishi mpaka uwaone wajukuu wa wanao.

Ujaliwe kupata watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula, akuongezee maarifa na juhudi uweze kuhangaika kuwatafutia chakula wale mpaka wasaze. Ili wakuimbie wimbo wa siku yako ya kuzaliwa wakati ukizima mshumaa wako wa 75.

Samahani kiinglishi hakipandi kwahiyo sijui kama haya maombi na hizi heri nlizokutakia kama zina mashiko kwa Griit Thinkaz.... Ila namini Mungu amezipokea.

King'asti (damn jina hili bana) na AshaDii semeni Amina. Kwa herufi kubwa.

thanks humble guardian. amen to ur prayer. can we eat now?
Happy Birthday King'asti may this year be your best ever and this day always be the special one to remember may today be filled with sunshine and smiles, laughter and love

matola,naona babu keshakujibu. ila sasa kwa stress hizi sijui kama ashadii atakumbuka besdei yako. hebu zingatia masheriti, ukiona watu wanalia na ww unajigalagaza kabisaa! happy bday in advance
Mie nauliza tu, hivi huyu AshaDii ndio anetunza kalenda za Anniversarry za watu wa jukwaa la MMU? maana hata miaka 30 ya ndoa ya Faiza Foxy alitujuza yeye huyu.

Am just asking........

Similar Discussions

Back
Top Bottom