Na wewe acha kujishobodoa,wenzio wana threesome spesho party.
Halafu we konnie ujue sijakutia machoni siku nyingi.
kura ya wapi wangu?
yamekukuta ya kushindwa kuongea? ha haaaaaaaaaaa!
Happy birthday to u
Hahahahaaaa nimepotezea....Ngoja nikakutafutie maziwa fresh chap
Hahahahaaa Fixed Point umeanza uchokozi eeeh
Umeona penzi la Mwali si mchezo eeeh
Mtoto kafa kaoza kwa Saint Ivuga hachomoki hapo Lol
we acha tu Erickb52, mimi nawatakia kila la heri tu, waendelee hivi hivi
Happy Birthday Ambiere@Saint Ivuga
Kaizer juu wapi tena
HAPPY BIRTHDAY Bro😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:,leo b'day hapohapo naona kuna mgongano yupi ni yupi khaa we Saint Ivuga unataka sherehe iharibike tusije kula keki,hebu tuweke bayana wa ukwee ni nani wanajamvi tunakusubiria.
hujaniona tu jamani?
Happy Birthday....
may God grant you a happy year filled with joy and accomplishments
Mmmh! Mussaja Bishanga, mdomo huo!
Happy birthday saintivuga.............party wapi? hata kwa ungo tutakuja!!
kila kitu kitawekwa wazi soon ngoja baba mkwe afikee
you are welcomethank you a lot..from the bottom of my heart i do appreciate.
nimekuona ...ngoja nimalizie kuoga hapa. jipumzishe hapo im coming