Happy Birthday Husninyo!

Happy Birthday Husninyo!

Happy birthday Husninyo.........I'm just here for cake lol!
 
mi sijawahi basdei kabsaaa...Husninyo nakutakia heri uelekeapo katika mikunjo ya pembe za macho!
 
mi sijawahi basdei kabsaaa...Husninyo nakutakia heri uelekeapo katika mikunjo ya pembe za macho!
hahahahah, lol. mikunjo haikwepeki kweli? ila ndio vizuri maana inasemekana kadri umri unavyoongezeka na busara nazo zinazidi. lol
 
Poleni na kazi Wifi.... poleni saana.... King umemuacha wapi??
Sante wifi. Mke mwe' King nimemwacha anamalizia kuweka mapulzo ile sehemu cake ya mtoto husni itakapowekwa....walisahau wakaweka ya blue wakati ukumbi wote tumeremba kwa green apple, atakuja mda si mrefu wifi yangu...nashukuru kwa kunielewesha kinyumbani kuwa Kaizer ni my kaka...ujue vile niliona my love Vin Diesel akimwita shemu basi na mimi nikaunga kumbe kinyumbani ni vibaya, hope umenipitishia msamaha wa dhati... Love you wifi...
 
Happy birthday Husninyo,Mungu akupe mwaka mwingine wa baraka tele,akupe hekima ili uwe na msaada hasa kule MMU..enjoy the day
by Jf priest
 
Dear hii ni sherehe... naona tusibague... BUT Ole wake ambae atakugusa... ndio watapo elewa kwa nini sweetie anatembea na 9mm....lol (thou sipend)
huyu mlinzi Tf ndio kamruhusu kupita eeh, nishamwona bodigadi anamshughulikia.
 
antii naona kama mtu anataka kuniharibia furaha hapo chini halafu bodigadi swtlady simuoni
We! Nipo hapa mpendwa! Nani analeta shida hapa?..huyu TF naona kazi ishaanza kumshinda, ameruhusuje wazamiaji? Hajui kazi ya wazamiaji ni kuharibu shughuli za watu?..
 
Hii party yenu mbona mimi amjanialika...lol.. Mpaka nimevamia
 
Sante wifi. Mke mwe' King nimemwacha anamalizia kuweka mapulzo ile sehemu cake ya mtoto husni itakapowekwa....walisahau wakaweka ya blue wakati ukumbi wote tumeremba kwa green apple, atakuja mda si mrefu wifi yangu...nashukuru kwa kunielewesha kinyumbani kuwa Kaizer ni my kaka...ujue vile niliona my love Vin Diesel akimwita shemu basi na mimi nikaunga kumbe kinyumbani ni vibaya, hope umenipitishia msamaha wa dhati... Love you wifi...

My beloved Wifi...usijali wala hukustahili kabisa kuomba msamaha... Vin ni kaka yangu thus shem wa Darling Kaizer... Wee ni Wifi yangu hivo yastahili wee umwite kaka sbb mmeoa na kuolewa nyumba moja... Hata hivo kaka sijamuona hapa.. bado yupo safarini??

Alafu my beloved wifi always remember I Love you too...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom