waooooooohhhhhhh, jamani hadi vimachozi vimenitoka kwa furaha. ahsanteni sana. duh, mtoto leo hawezi kujibu kila post ila ningependa kutoa shukrani zangu kwa
kaizer & ashadii----------- huyo ni mjomba angu na mkewe(yaani shangazi) ndio walezi wangu hapa.
uporoto____________ jamani huyo ni mume wangu, ndie anayeniweka mjini ananifanya ning'ae. lol
voiceofreason__________ahsante kwa busara zako na kuwa rafiki mwema.
the finest $ caroline danzi______________ nyie wapendwa wangu sijuti kuwafahamu, natamani ningewafahamu mapema zaidi. lol
Asprin & klorokwini______________ mwanchekesha sana jamani. halafu we babu nimeona umenichafulia cv humu. piga goti kabla mtoto sijakojolea suti yako.
MASHOSTI
Sweetlady____________ huyu ni zaidi ya shosti, bodigadi langu hili, linacheza kareti kama jakishen. lol
wiselady $ kerren hap ________wapiga chabo, wakiingia jf ni nadra kukutana nao ila nawapenda hao.
preta______________ wewe natamani mpwapwa niihamishie yaeda mwenzio.
bht_______________ ukicheka na mi nacheka shosti
russianro_________duh jina lako gumu ila ugumu wake unazidi kunivutia kila siku.
aminata $ Bebii__________sijawafahamu muda mrefu ila wanipa raha. lol
faizafoxy__________ wanchekesha
WAPENZI
BAK
salanga
alexism
RR
Chatu dume________ ahsante kwa zawadi ya air time, mkabidhi Tf hapo mlangoni atanifikishia.
Tanmo____________ we umeuliza umri wangu,...................... mi ni kibibi aisee.
rejao
ritz
mamdenyi
maamuma
mpita njia____________ ahsante hujapita hivi hivi.
bigirita
washawasha
mtm
ibrah
mwakalinga
lukansola.
mr rocky
shukrani za dhati kwa king'asti mama mzaa chema bila kusahau hamisi kishindindo aka nyani ngabu.
NAWAPENDA SANA.