Happy Birthday Husninyo!

Happy Birthday Husninyo!

Mie mwenyewe leo niko kwenye mood ya ugomvi kichizi.Wee Chokoza tu njemba yoyote halaf mimi nitatembeza kipondo. Hii ni speshel offer kwako wewe na sweetlady tu, haimuhusu kabisa King'asti wala faizafoxy.

Hivi umewaona wapi aisee...
 
Mie mwenyewe leo niko kwenye mood ya ugomvi kichizi.Wee Chokoza tu njemba yoyote halaf mimi nitatembeza kipondo. Hii ni speshel offer kwako wewe na sweetlady tu, haimuhusu kabisa King'asti wala faizafoxy.

hahahaha, kuna njemba imenichokoza mmu ila tumuache usije ukamvunja masaburi bure.
 
hahahahaa sweetie you never cease to amaze me... (ODM yuko hoi leo, labda PA ndo namwona anazunguka zunguka hapa..ila nashangaa kuwa King'asti na SL ndo waliwafanyia mpangombaya RR and CO...bado nipo kiupelelezi zaidi love)

That dearest is my mission and vision...lol... (Unacheza na King... once akiamua kitu, it is done!! Hopefully hawatajua akina RR & Co. what we were up to hali wao wana vi-obstacles...)
 
hahahaha, kuna njemba imenichokoza mmu ila tumuache usije ukamvunja masaburi bure.
Bora umenizuia aisee! mara ya mwisho nilompiga jamaa alitangaziwa kifo kabla kufikishwa hospitali. Kijijini wananiita Bollo young. Yaani mdada atakaepata bahati japo ya kuwa nyumba ndogo yangu basi ana bahati kweli hakyanani sitanii.
 
khaaa! unajipigia promo ya kasmall house eeh.lol
 
Duh!!! Hii birthday sijui kama watu niliowataja wamerudisha vile vitu walivyovichukua

Ndio kuna taratibu zimewekwa PA za kufuatilia... Sweetie yeye hakuchukua... ila tu alishanga kukuta ipo kwenye bonnet.. Sijui nani alilewa mpaka akachanganya na kuweka kwake... nahisi atakua Kimey....lol
 
Umeanza kumtetea.....lol!!
 
hahaha.... Sio hivo PA.... Ndo ukweli huo....

Alafu mie nitafutie zawadi bana.... Sikutenda dhambi hata moja....lol

mmh....love....(good thing, nyingine ni za ndani tu baas lol)
 
hahaha kamanda...mtoto mrembo kama AshaDii unampataje kama huna maujanja.....unanshangaza.!
Hii nimeikubali aisee! manake hii quality ya ADI hakyababu kama ni mzururaji wa tandale kama The Finest hauwezi kumpata hata sku moja.
Huyu The Finest anatokea wadada wendawazim halaf anawapatia namba yangu ya sim, juzi kuna katoto kamenipigia sim ile napokea tu naskia "shkamoo baba the finest". Khaaa!
 
Umeonaeeh....huyu TF anahitaji mafunzo elekezi...nadhani umfanyie mpango akakae walau bondeni hoteli pale mapipa.....ajue namna ya kuhandle hizi issues...... (hivi ina maana na Husninyo atakuwa amekupigia anamuulizia TF? iyo simu itakuwa ya kichina)
 
Hii ni kesi nyengine, maana na Uporoto pia ana kamchezo kama hako ka TF. Balaa wallahi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom