nilihisi kuna mahali naonewa,bt of all the pple sikutegemea from my one dearest brother! kati ya odm na mie nani ana koo kama sim tank la ikulu?
...bwahaa hhaaaa. Nilijua tu. MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO.Ebana eeh katika ndege wote hawa wee umemwona Sugar wa Ukweli tu?
...bwahaa hhaaaa. Nilijua tu. MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO.
Yu wapi huyu mkemwenzangu leo?.. Toka amalize kuremba ukumbi amepotea kabisaaa!
nilienda kujikwatua jamani,nikakuta kiwembe cha kuchongea wanja hakipo. sijui kama odm anaibaga na nyembe? nimewahi kumsaidia the finest kupeksheni watu ili glasi zisipotee na leo (dont worry abt odm,mama matesha leo ni mlinzi wake binafsi.) haya disco toto lishaisha,lianze la wakubwa,lol
Nimefurahije kukuona... Sweetlady alitupa updates kua uko soo busy na mapambo na cake... mara ukanipigia simu you were so tired sabb sherehe zimeongozana... mara upo hapa .... THANK YOU For changing your mind Wifi....
Dah!! Hii birthday PA imenifanya niende kwenye library yangu nianze kusikiliza those old goods songs za Whitney hapo hapo nikaanza kuwasikiliza 3T dah these guys walikuwa wanaimba i wonder why musicians don't make good songs like those nowdaysPA This is one of the songs I love... huu wimbo napenda the below part..
I've lived to be
The very best
I want it all
No time for less
I've laid the plans
Now lay the chance
Here in my hands
...Ngoja nikamlete fasta, halafu idara yake ya vinywaji imeanza kupwaya.Hebu mwambie hio hotuba ni REKODED hivi hata kesho atasikia.... Khaa! anaacha kusherehekea hapa na mtoto Husny....lol
kwapa umeshevu?
kwapa umeshevu?
Dah!! Hii birthday PA imenifanya niende kwenye library yangu nianze kusikiliza those old goods songs za Whitney hapo hapo nikaanza kuwasikiliza 3T dah these guys walikuwa wanaimba i wonder why musicians don't make good songs like those nowdays
3T;Michael Jackson - Why - YouTube
Khaaa!!! Leo nahisi Ngabu una hasira na Mwajuma wako na sabbu tu it is her birthday unazidirect within na hivo kupelekea kutoa cheche....lol
Khaaa!!! Leo nahisi Ngabu una hasira na Mwajuma wako na sabbu tu it is her birthday unazidirect within na hivo kupelekea kutoa cheche....lol
achana nae huyu nn. afu anakuja kujionesha na husn mbele za watu wakati yeye ni small house. bhangi za siku hizi sijui zikoje,kha!
nimeshave hadi miguu! im silky here bt u arnt allowed to touch...
...Ngoja nikamlete fasta, halafu idara yake ya vinywaji imeanza kupwaya.
Hahaha!! Hapo sina cha kusema hivi Birthday ameishazimika au vipihahahaha.... Those then kids where great aiisee.... Ila utanisamehe walikua wananiboa kimoja tu!! Kujipamba gani kule utafikir watoto wa kike... Khaa!!
achana nae huyu nn. afu anakuja kujionesha na husn mbele za watu wakati yeye ni small house. bhangi za siku hizi sijui zikoje,kha!
Mwajuma kaniboa bana...mi nimejipinda kumtengenezea double layer pound cake na fruit punch ya nguvu halafu naingia ye anasepa. Atanikoma kesho.