Swahiba ngoja mi nisepe bana, si unajua mi pia bado mdogo, ndio kwaanza leo nna 5days sheria za jamuhuri haziruhusu watoto wenye umri chini ya miaka 18 kukesha kwenye kumbi za starehe. Afu pia naenda kumwandalia ur shemu Vin Diesel, yupo njiani kutoka USA.... Usijali kama kaja na chochote kitu takugaia kesho mpendwa... Uwahi kwenda kulala ili ukue upesi... Sawa honey? Mimi penda wewe thana. Stay safe!thank youuuu my heartbreaker derimto. karibu kwa party
ahsanteni sana, endeleeni kumwimbia mtoto. husninyo will be back tomorrow morning. kama hujapata kinywaji, keki,whatever, aunt yangu anahusika.
Jamani Husninyo, hepi bes deiiiii tu yuuuuuu mamito!! Mwenyezi Mungu akujaalie maisha mareeefu yenye upendo, amani na furaha! Dah.......siamini ka nimechelewa party!!!
Kwa nini, kwa nini, unashangaa ukiambiwa?
Kwa nini, kwa nini, unakataa kinacholiwa?
Anakuja tofauti, Mwajuma kuja kutembea
Anakakuja na makoti, mabegi na mazulia
Roho yake haimpi, hata kunisamilia miye.....
Ashadii kakaangu anaibaga hadi mirija na napkins.....! (nyumbani hadi vijiko vya kwenye ndege vipo...lol )
Usafiri mi nnao wangu....nimeegesha hapo jikoni (ungo) hivo mtu mwingine anaweza chukua hiyo fasi yangu!
Msiwe na wasi wasi .... sie tukifanya sherehe hasa ya kuzaliwa kwa mtoto ni usiku kucha... yaani wageni wa saizi ni intake ya pili... bado ya tatu.. Kila kinywaji na vyakula of your choice vipo.... Mkiwa na maswali yoyote yale muelekeze kwa Sweetlady ndo anajua kila sector umfuate nani... Nimemkabidhi muongozo.
Duh huu mwezi Octoba ni mwendo wa kula bataa tu na Birthday party, ilianza yangu, ikafata ya sweetlady, na leo tena ya Husninyo.
Nahisi kitambi cha maji ya mende kitantoka mwenzenu.
Sweetlady nasikia kaenda Marekani kupitia runinga na google. Teh teh teh teh
happy birthday husninyo!
Ungo wenyewe unatoshea wawili tu, naenda na FL1 tunatua uani na ni convinient kwetu!Yaaani wee Bht wewe.... THANK YOU For making my day!!! Khaaa! yaani sijui ODM atajitetea nini.... anawafundisha nini akina Matesha?? lol... sasa huo usafiri wako twaweza muombea mtu lift?? Sie wasi wasi wetu ilikua kwamba mmechoka hivo mpelekwe hadi majumbani....lol
..Ritz yupo kaunta ya Juu anasikiliza hotuba za Mwl.Umeona eeeeh?? Yaani sasa hivi tukila hizi buffet hizi zinatucost week nzima mtu unafanya diet walau ulafi tulofanya leo upungue... sasa sherehe zinapopangana hiv.... Dah! NAMTAFUTA Ritz popote pale alipo.... Umemuona??
Ungo wenyewe unatoshea wawili tu, naenda na FL1 tunatua uani na ni convinient kwetu!
Huyo biggy ukimuona na kale kabegi cha mgongoni basi ujue ataondoka na chochote! (uzuri kina Matesha hawaelewi)
wacha nimuwahishe FL1 ana dozi ya mganga wa jadi!
Sugar wa Ukweeeh, Naomba kucheza mziki unaofata na wewe plz
..Ritz yupo kaunta ya Juu anasikiliza hotuba za Mwl.
Hahaha Hommie
Hadi Uporoto atakapofufuka, inabisi wewe ndo uwe bestman pale, maana huyu mpwa wangu Husninyo asikae peke yake
Vimiminika vitakuja kwa wingi hightable, ila mchunge sana King'asti
Klorokwini kamwogopa FA kwa hiyo tumempanga stoo ya maji...lol
Whitney Houston - One Moment in Time - YouTubeHebu mwambie hio hotuba ni REKODED hivi hata kesho atasikia.... Khaa! anaacha kusherehekea hapa na mtoto Husny....lol