naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,435
Hbd mh. Ngoyai
duh ni wa 1953 kumbe, ina maana hata jk ni mkubwa kwa lowassa, mbona kazeeka hivyo, whats wrong with him??? I can't imagine, let us be seriuos? Why yuko vile
Mbona anaokena ni mzee sana? Kumbe ni wa 1953 tu?
Anasumbuliwa na maradhi yanayomfanya aonekane kama mtu wa miaka 90?
duh ni wa 1953 kumbe, ina maana hata jk ni mkubwa kwa lowassa, mbona kazeeka hivyo, whats wrong with him??? I can't imagine, let us be seriuos? Why yuko vile[/QUOTE
mkuu kwa ufahamu wangu wangu genetics za binadamu na miili iko tofauti na hali hiyo inasababisha muonekano tofaut na pia kitendo cha kuzeeka huwa tofaut pia
Happy Birthday Edo, sina cha kukupa zaidi ya hii keki ili ikutie nguvu utuongoze katika kazi ngumu kabisa kupata kutokea nchi hii ya kuliondoa dubwasha moja iljulikanalo kama CCM. Tumepoteza ndugu zetu wengi kwa ajili ya dubwana hili kushindwa kutumia kodi zetu vizuri kutupatia madawa hospitalini, maji safi, elimu bora na hata makazi ya kufaa binadamu.
Ni miezi miwili migumu sana iko mbele yetu hasa katika kuwabadili wale watu waliolishwa limbwata kuweza kufunguka macho yao na masikio na kuelewa wachawi wao ni nani.