Jambo Tz
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 670
- 203
Happy birthday rais wangu wa moyoni Edward Ngoyai Lowassa.
Mungu akupe maisha marefu, afya njema na moyo wako huohuo wa kutukomboa Watanzania kutoka kwenye umasikini unaotutafuna hivi sasa.
Pia nakuombea ushindi wa kishindo hapo October huku mimi pia nikiwa ni mmoja kati ya watakaosababisha ushindi wako kwani kura yangu ni kwako.
nakupenda Rais wetu nakupenda mtu wetu wa mabadiliko ya ukweli