lowasa oyeeeeeeeeee, ukawa oyeeeeeeeeee, Ndg Wanajamii Forum, Ndg Mh, Rais Lowasa Wa Awamu Ya Tano, Kwaniaba Ya Familia Yangu, Naungana Na Familia Yako Kwanza Kukutakia Heri Ya Siku Yako Ya Kuzaliwa, Sote Tunakuombea Kwa Mungu Akupe Maisha Marefu Yenye Heri Tele Na Fanaka Nyingi Katika Siku Zako Zote Za Maisha Yako Kuanzia Hapa Duniani Hadi Mbinguni Pale Mungu Atakapokuita. Pili, Naomba Nikupe Pole Na Pengine Hongera Kubwa Kwa Ubunifu Wako Wa Kufanya Kampeni. Hakika Staili Yako Unayoitumia Haijawahi Kutumika Na Upinzani Tangu Kuwepo Na Vyama Vingi Hapa Tanzania. Mwisho Tunakungoja Jangwani Tar 29 Siku Ya Jumamosi Kwa Shauku Kubwa. Siku Hy Hatutakula Wala Kupika, Familia Nzima Tutashinda Jangwani Tukikusubiria Mh. Rais Mtukuka Usiye Na Mawaa Wala Hila Zozote. Kipenzi Cha Mungu Na Cha Watu Wote Wapenda Haki Na Maendeleo.