Happy birthday Edward Lowassa

Happy birthday Edward Lowassa

Happy birthday Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa
 
Nakutakia maisha marefu yenye amani na afya njema .Ukikutana na majaribu, uweze kuyashinda.
Happy Birthday Mh Lowasa. ..
 
Happy birthday Mh. Edward Ngoyai Lowassa. Mungu akupe neema yake, afya njema, nguvu na akubariki na ushindi katika kuwania urais Tanzania.
 
Happy birthday Mh. Rais baraka za Ibrahim, Isaka na Yakobo ziwe pamoja nawe wanaojipanga kukuangusha njia zao naziweka utelezi wajikwae na waanguke wao kwa jina la Yesu bali wewe usimame kama shujaa
 
Happy birthday baraka na ulinzi wa Mungu viwe juu yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom