Jina huakisi matendoTeh Teh hii thread ina vituko sana eti Mr president!
Teh Teh...Lowasa hatogusa ikulu kamwe...
Tarehe 26 August 1953, Mheshimiwa rais mtarajiwa alijaliwa kuliona jua. Naomba wapenzi, mashabiki na wote wanaoitakia nchi yetu neema, baraka na fanaka, tujumuike kwa pamoja kumtakia Ndugu Mh. Lowasa heri ya kuzaliwa.
NB. Ifikapo saa sita kamili usiku, naomba makamanda wote tumimine salam zetu za kuzaliwa kupitia uzi huu.
Happy birthday Mh. Lowasa.
duh ni wa 1953 kumbe, ina maana hata jk ni mkubwa kwa lowassa, mbona kazeeka hivyo, whats wrong with him??? I can't imagine, let us be seriuos? Why yuko vile