Happy birthday Edward Lowassa

Happy birthday Edward Lowassa

Happy Birthday Mr. Lowassa,The Great man of our times!
 
Happy birthday Mr. President. Mungu akuwezeshe kwa afya njema kabisa. Tunakuombea kwa Mungu. Tuko mbele yako tukiongozwa na Mungu. Tutashinda.
 
WASIFU WA EDWARD LOWASSA:

....Edward Lowassa alizaliwa August 26, 1953 katika kijiji cha Ngarash, Monduli, ndiye mtoto mkubwa wa kiume wa mzee Ngoyai Lowassa. Ana miaka 1962. Alianza kusoma katika shule ya msingi Monduli kati ya mwaka 1961-1967....

SOURCE:

MWANANCHI: August 05, 2015, pg. 04

**********************
....{Happy birthday to you}x2
....{Happy birthday dear Edward}
....{Happy birthday to you}
**********************
 
duh ni wa 1953 kumbe, ina maana hata jk ni mkubwa kwa lowassa, mbona kazeeka hivyo, whats wrong with him??? I can't imagine, let us be seriuos? Why yuko vile

na wewe ni mpu.... Lowassa kaaanza kuot mvi tangu 1985 akiwa na miaka 32. "Shut up"
 
God's blessings on your birthday, may you live a long, healthy and happy life
 
na wewe ni mpu.... Lowassa kaaanza kuot mvi tangu 1985 akiwa na miaka 32. "Shut up"

Mkuu pia ajaribu kumuangalia yule mtoto wa lowassa wa kiume yani anarange kwenye 35's hivi lakini tayari kichwa chake chote kimejaa MVI AU HAKUMUONA UYO MTOTO WAKE ILE SIKU LOWASSA ANAPOKELEWA UKAWA???


AKUMBUKE PIA:MVI NI ISHARA YA KUWA NA BUSARA!
 
Tarehe 26 August 1953, Mheshimiwa rais mtarajiwa alijaliwa kuliona jua. Naomba wapenzi, mashabiki na wote wanaoitakia nchi yetu neema, baraka na fanaka, tujumuike kwa pamoja kumtakia Ndugu Mh. Lowasa heri ya kuzaliwa.

NB. Ifikapo saa sita kamili usiku, naomba makamanda wote tumimine salam zetu za kuzaliwa kupitia uzi huu.

Happy birthday Mh. Lowasa.


Yah!..We recognise his better day Of Today for Our Hons.EDWARD LOWASSA,May god protect & Bless him with a LongLiving.

#LONGLIVE OUR PRESDENT.HONS.EDWARD LOWASSA!!!

IMG-20150826-WA0000.jpg
 
Wanajamvi leo ni siku aliyozaliwa ndugu yetu na rafiki yetu Lowassa Agosti,26,1953.Je sisi malofa na wapumbavu wa nchi hii tunahaki ya kumpongeza?
 
Teh Teh hii thread ina vituko sana eti Mr president!

Teh Teh...Lowasa hatogusa ikulu kamwe...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom