senkyu mkuu Mandela, mie Mugabe bado nipònipo kwanza.
Umeanza kupoteza kumbukumbu ...
Mimi kungungu ngumbulu mwuru....
senkyu mkuu Mandela, mie Mugabe bado nipònipo kwanza.
huu sasa ndo unyanyasaji wa watoto wachanga.
hahahaaa umenichekeshaje unajuaaaaaa
hahahah binti kapewa kibendi halafu ajitambishia kwa babaye loh...
Utakuja kufidia ukikua...una dalili zote za ubazazi.....
Umeanza kupoteza kumbukumbu ...
Mimi kungungu ngumbulu mwuru....
Naona km vile unatumia advantage ya uchanga wangu kukusanya vifaranga vyangu. Usisahau mi nakua kwa sekunde. Mpk ifike saa moja nakuwa nshabalehe
Duh, mkuu umekula chumvi mingi aisee....!!!!!!!!
![]()
Hepi basdei Komredi.
Sijui utakuwa umefikisha umri gani lakini nna uhakika umenizidi. Mi nna miaka 64 sasa.
Hepi basdei Komredi.
Sijui utakuwa umefikisha umri gani lakini nna uhakika umenizidi. Mi nna miaka 64 sasa.
Duuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhh,
Kumbe ukiwa na wajukuu na wewe unaweza kugeuzwa dotcom....
Mwaka 1947 haya mambo yangetokea wapi?
Hongera zako mzee mwenzangu Asprin,
Ila itabidi tutete kwa kung'atana sikio...kwa nini watu wengi walizaliwa January (..naanza sasa kufanya hesabu: January - 9months =......)!! Hapa kuna jambo special, siyo bure!
Babu DC!!
Komredi mbona sijakuona kwenye maandamano ya kudai mafao ya Jumuiya ya Afrika Mashariki?
Isije ikawa na wewe ni uzao wa enzi ya Ocean Road Hospital. Isije ikawa we ni uzao wa kwenda kuchungulia wakubwa tukidansi Silent Inn Mwenge.
Silent Inn mwaka 1987 nilikuwa baunsa kwenye show ya Tabu Ley na Mbilia Bel walipokuja kwenye tour yao ya bongo.
Siku zingine nilikuwaga mchukua pesa mlangoni siku ambazo Muungano Ngoma Troupe walikuwa wanafanya show na mijoka yao.
Unazikumbuka hizo enzi komredi?
I was searching for the perfect way for wishing you a happy birthday,
that I totally lost track of time
So now I need to wish you a happy belated birthday,
dont say that I didnt try ....
![]()
Naona KakaKiiza ana mu alert rafikiye babu Asprin kuwa amezeeka sasa, lakini haka ka babu kabishii, ona kalivyojibu sasa.......
Hapy birthday Asprin, long live my dearest
Hahaha why belated my darling? Bado niponipo leo bhana.
BTW mi na KakaKiiza hatujakutana supamaketi. Ukome kutupakazia.
Thanx for the wish my dear, usikose kuja kunizika siku zangu zikifika. Naisikia harufu ya kaburi na dongo tani saba juu yangu. Najaribu kukumbuka miaka 25 iliyopita nikiwa nna miaka 50... Very young and energetic. Sahiz hata ukinijia without, baioloji wala haistuki, labda isaidiwe na porn movie ya anal sex lol