Happy Birthday Doctor @Asprin

Happy Birthday Doctor @Asprin

Happy birthday mkubwa mwenzangu.....
I get mchanganyo...hivi wewe na mugabe nani mkongwe...
And pitia masiwa hapa....
 
Happy birthday Asprin sijui niseme ukue sasa mbona tayari mzee. Ngoja nifikirie mmmh ok Mungu akupe uzee uliojaa busara nyingi.
 
Last edited by a moderator:
Kukuombea tu, wala usijali.....
Nambie tu unataka nimwambie Mungu unahitaji nini, nikuweke kwenye maombi ya leo usiku

Ngoja nikubip nikueleze kwa ukaribu zaidi!!!
 
Kumbe mko wengi na huu mwaka wamavuno umekaribia najua mtakuwa na akiba mnisaidie maana na mimi huu mwaka ni karatasi kwenda mbele maana ukitaka kutembelea limu safari itakuwa ngumu kidogo au unasemaje bazazi Asprin??


Sasa mambo ya makaratasi si dhambi hii....fanya kama ilivyokusudiwa:biggrin1:
 
Happy birthday mkubwa mwenzangu.....
I get mchanganyo...hivi wewe na mugabe nani mkongwe...
And pitia masiwa hapa....

senkyu mkuu Mandela, mie Mugabe bado nipònipo kwanza.
 
  • Thanks
Reactions: RR
Happy birthday to you too my sweet twin.

Hivi unaona haya mabazazi yakiongozwa na bazazi mkuu KakaKiiza wanavyochakachua thread pendwa ya ladyfurahia?

BTW nipe ratiba, mie bado nanyonya kwa mama.
Mkoloni kakuachia Bazazi mkuu vipi uko wapi nikupe mnyonyo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom