Happy Birthday Doctor @Asprin

Hahaha...karatasi zimetulindia ndugu yetu...
Kumbe mko wengi na huu mwaka wamavuno umekaribia najua mtakuwa na akiba mnisaidie maana na mimi huu mwaka ni karatasi kwenda mbele maana ukitaka kutembelea limu safari itakuwa ngumu kidogo au unasemaje bazazi Asprin??
 
Last edited by a moderator:
kumbe unayemwamini siye asiyeaminika kumbe Vin Diesel naye anatumiaga karatasi ni karatasi za aina gani hizo nifafanulie sizielewi best?
Kumbe mko wengi na huu mwaka wamavuno umekaribia najua mtakuwa na akiba mnisaidie maana na mimi huu mwaka ni karatasi kwenda mbele maana ukitaka kutembelea limu safari itakuwa ngumu kidogo au unasemaje bazazi Asprin??
 
Last edited by a moderator:
Kukuombea tu, wala usijali.....
Nambie tu unataka nimwambie Mungu unahitaji nini, nikuweke kwenye maombi ya leo usiku

Mbona ipo mingi tu sijaona footprints zako huko ndiyo maana!

usisahau kuniombea alafu sawaee...

Mkuu Kimey, salama lakini!?? Sijui ulikuwa umefichwa wapi wewe!!!
 
Last edited by a moderator:
akaaaaa mwenzangu naogopa mie sitaki shari bure
hujui daddy watu8 ananiona tena anatambua kuwa
alikushakula mahali ya watu bure halafu unataka leta balaa
Usikonde kuja kwa pm utapata ufunuo wakufaham mambomengi!Na keki nimekuwekea karibu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…