ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #61
kwa saa za afria mashariki naona umewahi dakika kumi na mbili kabla ya tarehe tajwa...kwa kuwa hatuna kumbukumbu rasmi ya muda alozaliwa basi niungane nawe kumtakia miss chagga kila lililo heri!
upo wapi miss chagga nikutoe out ya nguvu
Nipe address ili niifanye siku yako kuwa nzuri zaidi...!
Mie nataka nikufate huko uliko bestito....!Si unajua huku niliko ni tofauti na masaa ya afrika mashariki ndo nikadhani nimepatia kumbe nimeulaaa lakini hakijaharibika kitu bestito m-wish tu mwenzio
Belated Happy Birthday dada yangu miss chagga...hope you had a blast!
Wapendwa mabebstito wangu habarini zenu
Leo ni siku ya furaha sana tunayokumbuka
ambayo kamwe haiwezi sahaurika kwa mwenzetu
bestito miss chagga ambaye tarehe hii 2,dec, 2014
anakumbuka siku yake muhimu duniani yenye kicheko kisichokoma.
Pale ambapo mama yake alivyomfyatua hewani naye akachomoka
kwa kilio cha furaha kuiona mbingu ingine yenye shida na raha zake.
Hatutasahau kumshukuru mama yake miss kutuletea kiumbe kizuri duniani
nasi kwa pamoja tunamtakia heri na fanaka ktk siku take hii njema
Ungana nami kumtakia heri na fanaka njema na maisha marefu
mpendwa wetu rafiki yetu wa moyoni miss chagga
Nakutakia kila jema kwako na Mungu akupe afya njema na akukuze
ktik kicho chake uje utangaze fadhili za BWana Mungu maishaini mwako.
POKEA KAZAWADI HAKA KADOGO KA KEKI BESTITO WANGU
View attachment 207292
View attachment 207293
MREMBO MISS CHAGGA AKIFURAHIA SIKU YAKE
WAOOO CONGRATULATE BABY GIRL
KARIBUNI KUM-WISH MWENZETU MISS CHAGGA
Happy birthday miss chagga
amekata miaka ngapi?
Wapendwa mabebstito wangu habarini zenu Leo ni siku ya furaha sana tunayokumbuka ambayo kamwe haiwezi sahaurika kwa mwenzetu bestito miss chagga ambaye tarehe hii 2,dec, 2014 anakumbuka siku yake muhimu duniani yenye kicheko kisichokoma. Pale ambapo mama yake alivyomfyatua hewani naye akachomoka kwa kilio cha furaha kuiona mbingu ingine yenye shida na raha zake. Hatutasahau kumshukuru mama yake miss kutuletea kiumbe kizuri duniani nasi kwa pamoja tunamtakia heri na fanaka ktk siku take hii njema Ungana nami kumtakia heri na fanaka njema na maisha marefu mpendwa wetu rafiki yetu wa moyoni miss chagga Nakutakia kila jema kwako na Mungu akupe afya njema na akukuze ktik kicho chake uje utangaze fadhili za BWana Mungu maishaini mwako. POKEA KAZAWADI HAKA KADOGO KA KEKI BESTITO WANGU View attachment 207292
Happy Birthday miss chagga na hongera sana kufikisha miaka kadhaa katika ulimwengu huu na Mungu akujalie maisha mengine marefu zaidi yenye furaha na amani yake
asante Mr Rocky nakujaMtani wangu miss chagga njoo nikuvishe nepi na bambino.....alafu nikubebe mgongoni na bebishoo.......
kwa nini unasema hivyo wewe?happy bday miss chagga
kumbe ndiyo maana unakuwa wa kwanza kulike na kukomment
Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa. Enjoy and make the most of it.
Wapendwa mabebstito wangu habarini zenu Leo ni siku ya furaha sana tunayokumbuka ambayo kamwe haiwezi sahaurika kwa mwenzetu bestito miss chagga ambaye tarehe hii 2,dec, 2014 anakumbuka siku yake muhimu duniani yenye kicheko kisichokoma. Pale ambapo mama yake alivyomfyatua hewani naye akachomoka kwa kilio cha furaha kuiona mbingu ingine yenye shida na raha zake. Hatutasahau kumshukuru mama yake miss kutuletea kiumbe kizuri duniani nasi kwa pamoja tunamtakia heri na fanaka ktk siku take hii njema Ungana nami kumtakia heri na fanaka njema na maisha marefu mpendwa wetu rafiki yetu wa moyoni miss chagga Nakutakia kila jema kwako na Mungu akupe afya njema na akukuze ktik kicho chake uje utangaze fadhili za BWana Mungu maishaini mwako. POKEA KAZAWADI HAKA KADOGO KA KEKI BESTITO WANGU View attachment 207292
YUKO HAPA HAPA
ANGALIA HII KITU
Join Date : 23rd March 2014
Location : Magomeni
Posts : 4,852
Rep Power : 1307
Likes Received2275
Likes Given16