Hapo mlima Kitonga mbona kuna watu hawaeleweki aisee

Hapo mlima Kitonga mbona kuna watu hawaeleweki aisee

Muda si mrefu tutafika tunapokakiwa kufika

wadau walitoa ushauri kabla ya 29oct mkapuuzia wengine mkawapoteza

29oct ikafika mkaja na vitisho raia wakatoka mkaua maelfu

Sasahiv 9dec ina load mpo kuteuana you dont care and we dont care!

Anyway hii nchi TANZANIA Kwa sasa imeshakuwa superstar dunia nzima!
 
Nimepita saa kumi na Moja asubuhi na usafiri binafsi hapo mlima kitonga nimeona Kuna watu hawaeleweki wamevaa kininja ni wengi halafu Wana silaha aisee mpaka nikataka kugeuza safari wakaniambia pita hakuna shida Kuna nini kinaendelea aisee hii nchi mbona ishakua shida.

Mnaopita kitonga na usafiri wa binafsi nafikiri mtakua mmeliona hili halafu hawana gwanda
Hadi upite na usafiri binafsi ndipo utawaona vipi wengine wakiwa kwa bus hawataona?
 
Nadhani kuna haja sasa Taasisi za dini ziambiwe matamko na ushauri waliotoa unatosha wakae kimya, na waendelee na mambo yao ya kiimani zaidi kuliko kuendelea kuleta taharuki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom