Scared
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,885
- 17,582
Nimepita saa kumi na Moja asubuhi na usafiri binafsi hapo mlima kitonga nimeona Kuna watu hawaeleweki wamevaa kininja ni wengi halafu Wana silaha aisee mpaka nikataka kugeuza safari wakaniambia pita hakuna shida Kuna nini kinaendelea aisee hii nchi mbona ishakua shida.
Mnaopita kitonga nafikiri mtakua mmeliona hili halafu hawana gwanda
Mnaopita kitonga nafikiri mtakua mmeliona hili halafu hawana gwanda