Hapa ndo ninaposhindwa kumuelewa mwanamke

Hapa ndo ninaposhindwa kumuelewa mwanamke

Hawa viumbe hawafikirii mbali kabisa wanawaza vitu vya hapa hapa na vya wakati ule..ukizingatia may hauko vizuri financial wanadhani utafulia maisha yako yote wakati maisha yanabadilika at any time.
 
Acha uongo na wewe usijifanye wewe tu ndio umefika ulaya, ulaya wengine sisi ishakuwa kama kwenda mkoani tu, maisha yao tunayajua na wengine tumeyaishi haya unayosema hapa si kweli ni kwa kiwango kidogo sana na kwa baadhi ya watu wanaodha i wako kwenye life revolution lk maisha ni kama ya bongo tu linapokuja swala la mahisiano tofaiti ni mila na tamaduni.

Uandishi wako tu unaonyesha una uelewa mdogo wa mambo.
 
Duuh, umenikumbusha Emmy wangu, tulikuwa vyuo tofauti tukaachana kisa masharobaro wa chuo, nikawachukia wadada wote wa chuo nikaoa form four leaver, wanawake wa chuo mabwege sana.
Kweli mkuu, wanawake wengi wa chuo wanapigwa mambo sana.... Ila sasa huyo Form four leaver si umemzidi sana so ni full kumpelekesha?
 
Siyo kweli! Wanawake wana akili klk wanaume kwenye mambo ya mahusiano na wanajua wanachokifanya, wanawake wanajua kwamba mwanaume kwao ni dhaifu na ndiyo maana unaona kamrudia jamaa na jamaa atamchukua tu tena halafu baada ya atapata jamaa mwingine huyo mshikaji atapigwa chini tena!
Kwenye mahusiano mwanamake hushinda siku zote kwa maana wana akili kuzidi wanaume!
Si kweli
 
Kama Mungu akisema wanaume wakae na wanawake kwa akili, fikiria ni akili kiasi gani inatakiwa? Sio mchezo!
 
Siyo kweli! Wanawake wana akili klk wanaume kwenye mambo ya mahusiano na wanajua wanachokifanya, wanawake wanajua kwamba mwanaume kwao ni dhaifu na ndiyo maana unaona kamrudia jamaa na jamaa atamchukua tu tena halafu baada ya atapata jamaa mwingine huyo mshikaji atapigwa chini tena!
Kwenye mahusiano mwanamake hushinda siku zote kwa maana wana akili kuzidi wanaume!
Hahahaha kama bado cjakuelewa hv yaan anampiga chin halafu anaenda kwa MWANAUME..[emoji28][emoji28] hapo anakua kakutana na mwanume MJANJA [emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom