Hapa ndo ninaposhindwa kumuelewa mwanamke

Hapa ndo ninaposhindwa kumuelewa mwanamke

yeye ni mrembo na umri wake bado mdogo hivyo atapata mwanaume wa kuendana naye yaani mwanaume wa saizi yake.

KAULI KAMA HIZI SIO ZA KUTOA...HUKU NDIO KUAMGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA....UW KE AU ME ACHA KUKTOAKAULI HIZI...AMEFUNA ALICHOPANDA HAPO MI SIOI
Kauli kama hizo zinakera kweli halaf zinaumiza yaani unajiona choo
 
Kama mwanamke alikukataa alikuwa hakupendi kwa dhati, akatafuta wa afadhali ambae hakudumu nae. So anataka arudiane nawe kwa sababu anaitaji mtu wa kuishi nae, ama labda kajilaume anajiona alio fanya ni upumbavu, yamemkuta. Hasirudiane ngoooo, anataka kuplay games.
Sio Mimi mkuu ni jamaa yangu, ila mwanamke hana nafasi maana jamaa nafunga ndoa soon
 
wanawake wa kibongo wengi wanapata akili kwenye age ya 27 na apo baada ya kuchezewa sanaa tu ...chini ya iyo age ni majoka tu

daaah malikia wa nguvu!!!
Dah hapa pana ukweli maana naye sasa hivi ana miaka 26
 
Habari za weekend wapendwa, natumaini muwazima wa afya, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo kuu kilichonisukuma kuongea hivyo ni huu mkanganyiko ninauona kwa hawa wanawake kwa kutokuwa na msimamo ambao sio wote ni baadhi lakin wengi wao....
Kuna jamaa yangu alikuwa na mpenz wake na Mimi nilimuita shemej kama kawaida japo sijawah kumuona live kutokana na umbali hivyo niliongea naye kwa simu tu walikuwa wanapendana na jamaa alitokea kumuelewa sana kwa kipind hicho mwanamke alikuwa na umri wa miaka 23 alikuwa chuo mwaka wa mwisho lengo lao ilikuwa mwanamke akimaliza wafanye process za ndoa lakin mwanamke alikuja kugeuka ghafla sijui nini kilimpata na jamaa alipojaribu kumuuliza hakuna na jibu lolote juu ya mabadiriko hayo,baadaye mwanamke akataka waachane huku akimrushia lawama nying jamaa kwamba hajui kuhandle Mara anamhisi na mwanamke mwingine hakuishia hapo akaonyesha kila aina ya dharau na kufikia hatua ya kumtamkia jamaa kuwa yeye ni mrembo na umri wake bado mdogo hivyo atapata mwanaume wa kuendana naye yaani mwanaume wa saizi yake.
Jamaa hakuna na namna ikabidi akubaliane na hali halisi maisha yakaendelea miaka ikasonga kumbe mwanamke alipata mwanaume mwingine mwanafunz mwenzake akampa mimba na kumtelekeza kwakuwa mwanamke amesomea kozi ya ualimu ameweza kumlea mtoto na maisha yanaendelea na jamaa yangu amepata mchumba na process zina endelea miez michache ijayo atafunga ndoa.
Sasa yule mwanamke amerudi na anataka jamaa warudiane na amuoe tena huku ajifanya anamahaba ya hali ya juu na msg nzuri za mapenzi huku akisema jamaa ni mwanaume Mwenye huruma sijui anayejal hapa ndo ninapopata mkanganyiko kwa hawa viumbe saizi ana mtoto ndo anataka jamaa amuoe Wakt hana alisema jamaa si wa hadhi yake, yaani malue lue, hivi kwanini wanawake mkipata wanaume sirias huwa mnawadharau? Kwanini?

Kama 'umeshindwa kabisa' kumuelewa mwananmke, nunua hicho kifaa kikusaidie. Kinaitwa Manslater... Yani kinamsaidia kumtafsiria mwanaume jinsi ya ku react kwa majibu ya mwanamke... Watch that youtube video...
 
Hivi awa viumbe ndio unawajua?naisi umechelewa kuwafahamu.nazan umeshawafahamu.
 
Huwa wanawake wanajidanganya sana na kuwa na akili za kitoto sanaa!
 
Kuna dada mmoja ameniomba ushaur nae ni mwanachuo yaani habr yake tamu balaa na mm na amini unga mkono hawa viumbe Wapo kihisia zaidi haswaa
 
Mkuu hata mie hawa viumbe huwa siwaelewi kabisaaaaaa, ila huwa nafurahi sana kuwaona maana ni sinema tosha kwa sababu ya vituko vyao. Kwa hiyo kapigwa miti huko mpaka kazaa afu ndo anataka jamaa amuoe yaani alee damu ya mwanaume aliyemfanya akdharaulika!? ha ha haaaaaaa safi sana
Cha ajàbu sasa huyo jamaa anawwza akamwacha mchumba mpya ajamrudia huyo aliyemdharau mwanzo, sio wanawakw tu wasiojielewa hata sisi wanaume tumo
 
Thinking a loud, it sounds true
Siyo kweli! Wanawake wana akili klk wanaume kwenye mambo ya mahusiano na wanajua wanachokifanya, wanawake wanajua kwamba mwanaume kwao ni dhaifu na ndiyo maana unaona kamrudia jamaa na jamaa atamchukua tu tena halafu baada ya atapata jamaa mwingine huyo mshikaji atapigwa chini tena!
Kwenye mahusiano mwanamake hushinda siku zote kwa maana wana akili kuzidi wanaume!
 
wanawake wa kibongo wengi wanapata akili kwenye age ya 27 na apo baada ya kuchezewa sanaa tu ...chini ya iyo age ni majoka tu

daaah malikia wa nguvu!!!
Hahahhaaaa umenifanya nicheke nakuwaza pia maana kuna manzi yuko 27 yrs now ananiganda kinyama najaribu kufikiria huko nyuma alikuwa anafanya nini hadi anigande leo
 
Kwa hiyo wakiwa na umri mdogo na akili huwa ndogo, sas basi mnapoachana msiseme nauli mbaya sasa saiz amesahau sema jamaa mpolee anamuangalia tu
Huyo hakurudi kwa mapenzi juu ya jamaa ila maisha yamekuwa magumu kwake na kaona alipendwa na huyo rafiki yako anataka asaidiwe kulea mtoto tu hana lolote zaidi. Rafiki yako akifanya kosa na kumrudia hatopata mapenzi ataonekana kama yeye ndio aliyesababisha yote.
 
Back
Top Bottom