wanawake mm nasema akili zao zipo nusu tena chin kabisa ya kiwangoo hawana maono ya mbele kabisa wao huangalia hapa tu
Mpenzi umenisahau kabisa,umetupa jongoo na mti wakeMmmmh!! Ni kutojitambua tu mkuu hamna lingine! Na umri nao unachangia!!
Wanasema kumuhandle mwanamke mmoja kwny mahusiano ni sawa na kuchunga kondoo 70 pembeni ya barabara ya lami yenye magari yapitayo kasi
Hapana, yeye ni mkinga na elements zote za kijasiliamali anazo, maisha yanasonga hata rafiki zangu ambao wameoa wafanyakazi wenzao wanakuja kukopa kwangu wakibanwa.Miradi nilomwazishia yote inasonga, hapa naandika post hii nikiwa viwanja vya viburudisho wife ndo kanitoa out.Kweli mkuu, wanawake wengi wa chuo wanapigwa mambo sana.... Ila sasa huyo Form four leaver si umemzidi sana so ni full kumpelekesha?
Hahaa mkubwa we ushatungua wangapi
wanawake mm nasema akili zao zipo nusu tena chin kabisa ya kiwangoo hawana maono ya mbele kabisa wao huangalia hapa tu
Unasema hakuna mwanamke then ukiondoa mama yako....so mama yako sio mwanamke..acha mwanamke aitwe mwanamke na wote wana thamani sawa.Hakuna mwanamke anayejitambua'ukiondoa mama yako aliyekuzaa basi,wengine wote majanga tu.
Kwenye post yangu sijataja mama hapo na hakuna aliyeshindwa kuhandleAcheni kejeli kwa mama zetu,dada zetu na wake zetu wewe kama umeshindwa kuhandle mwanamke unaanza kulalamika humu wewe ndie hovyo..huwezi kumtenganisha kamwe mama yangu na mama yako wote wana thamani kubwa mbele yetu.
Hahahahaha aiseee hongera Sanaa wakinga wagumu sana katika maisha hawatetelekiHapana, yeye ni mkinga na elements zote za kijasiliamali anazo, maisha yanasonga hata rafiki zangu ambao wameoa wafanyakazi wenzao wanakuja kukopa kwangu wakibanwa.Miradi nilomwazishia yote inasonga, hapa naandika post hii nikiwa viwanja vya viburudisho wife ndo kanitoa out.
Jamaaa hapoo asijilogee arudi nyumaaHapo ninaweza amino kuwa hawa viumbe wanaishi kwa hisia aisee maana saiz yuko bizee jamaa anamuambia anamchumba lakn bado haamini