Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,213
- 27,036
Mi huwa siwaelewi wanawake .
Sijui wanataka nini na maisha haya mafupi.
Niliwahi kutoke kumpenda mwanamke mmoja sana tu na kwa jinsi nilivyompenda nilitaka baadae nimuoe tujenge maisha ana kazi yake nina kazi yangu.
Sasa alinikataa akaniona mjinga mjinga Fulani hivi.
Rafiki yangu akamtongoza akakubali akawa ana" mchapa " sana .
Na jamaa ananiambia mambo yao yote .
Namsikitikia tu maana jamaaa yangu namfahamu vizuri sana ni kiwembe balaa na demu kaoza kwa jamaa hahhahahahh
Maisha haya bhana [emoji3]