Hapa ndo ninaposhindwa kumuelewa mwanamke

Tatizo ni hili yule serious Mungu kamleta huyu mwongo shetani yupo ndani yake rudi nyuma bustani ya edeni eva alidanganywa na shetani na mpaka leo sisi ni dhaifu kwa roho za shetanii ni rahisi kudanganywa nampita njia na ningumu kuishi na mkaajii hii ndio shida kubwaa etii ukija kushtuka muda umeenda umrii pia yaani we acha tu adamu alishawishika pia kwa hiyoo hiloo tu sio sisi hata nyie msaada nikuomba tu umjue yupi sahihi katika maisha maana Wengi waongoo na wengi wanapita na wanadanganyaa sanaa.
 
Jamani hapa kuna jambo la kulifahamu, nalo ni;Rejea vitabu vitakatifu mwanamke hakuubwa Bali alitolewa ubavuni mwa mwanamume,yaani kwa maneno mengine mwanamke ni PHOTOCOPY ya mwanamume.Kwa hiyo fikra zake ni "Unstable'
 
Kutojitambua mkuu,yaani sometimes hata sielewagi kwann wanawake zetu hua wanadanganyika kurahisi sana
 
Tatizo ni hili yule serious Mungu kamleta huyu mwongo shetani yupo ndani yake rudi nyuma bustani ya edeni eva alidanganywa na shetani na mpaka leo sisi ni dhaifu kwa roho za shetanii ni rahisi kudanganywa nampita njia na ningumu kuishi na mkaajii hii ndio shida kubwaa etii ukija kushtuka muda umeenda umrii pia yaani we acha tu adamu alishawishika pia kwa hiyoo hiloo tu sio sisi hata nyie msaada nikuomba tu umjue yupi sahihi katika maisha maana Wengi waongoo na wengi wanapita na wanadanganyaa sanaa.
Aisee kumjua muongo na mkweli ni changamoto
 
Back
Top Bottom